Msamiati mpya wa SUKUMA GANG haufai, unaweza kuleta matatizo kwenye jamii hapo baadaye. Mamlaka ziliangalie hili

Na msukuma hatakuwa rais tena kamwe. Labda muanzishe Jamhuri yenu ya Wasukuma
wasukuma ndio wanaamua nani awe rais au hujui ilo? sasa nyie wachaga wa chadema endeleeni kuwatukana, mtaenda usukumani kuwaomba kura.
 
Daah! Basi sawa mkuu.
Bora tufanye siasa za vyama tu hizi za kikabila zitatupeleka pabaya.
Hatutaweza kubaki salama.

Mbegu ya kubaguana kwa sababu yoyote ile, iwe ni ukabila au udini haiwezi kuliacha taifa lolote kuwa salama, na lipate maendeleo. HAIWEZEKANI.
 
wasukuma ndio wanaamua nani awe rais au hujui ilo? sasa nyie wachaga wa chadema endeleeni kuwatukana, mtaenda usukumani kuwaomba kura.
Bahati nzuri kwetu sote waTanzania, sio wasukuma wote wala wachaga wote waliovilaza kama nyinyi wawili mnaojibishana hapa kama mazuzu.
 
Mkuu kwa ufafanuzi wa ziada.

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Taja safu yote ya viongozi na kanda zao wanazotoka tuone wasukuma ni wangapi?

Alafu nilishawahi kuhoji kwanini wanaolalamika ukabila wa Magufuli ni wachaga tu?
Siyo kweli, malalamiko yalitoka karibia nchi nzima isipokuwa Dodoma na hao Sukuma Gang. Baraza la Mawaziri lilijaa Wasukuma wengi, tena isiishie hapo, kuna baadhi ya ofisi Kisukuma kimekuwa ni lugha rasmi ya mawasiliano.

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Wasukuma wanamaendeleo gani? tupe hayo maendeleo yenu washenzi nyie mlimwandaa pole pole viti maalumu kupiga debe bungeni aongezewe muda mbaguzi/ mkabila/ mkanda matokeo yake yuko wapi huyo mungu mtu sasa?pole pole yuko wapi? bashiru ally, na spika namnukuu "Atakae asitake lazima tumuongezee muda" wasukuma hamfai hata kuwa hata balozi wa nyumba kumi.
Wewe utakufa na stress tu wasukuma wataendelea kuwepo tu na kwa sasa maendeleo ni makubwa sana tu kwa sababu ya kujituma kufanyakazi wewe endelea tu na udaku wakati wenzako wanapiga kazi.
 
Nitajie majina ya mawaziri watatu waliokuwa wasukuma, ukiweza nipo tayari kufanywa lolote.
 
Taja safu yote ya viongozi na kanda zao wanazotoka tuone wasukuma ni wangapi?

Alafu nilishawahi kuhoji kwanini wanaolalamika ukabila wa Magufuli ni wachaga tu?
Unawashwa na wachaga? Endelea kuchunga mbuzi hapo itilima sio Level yako
 
mkuu THE LOST usipambane na wajinga, wajinga hupuuzwa

Walioshikilia msemo huo, wengi ukiwaambia wakutajie majina ya wasukuma kwenye serikali ya Magu, watamtaja hadi Majaliwa na Bashiru

Ni vichwa panzi tuwapuuze.
Zama za ushamba zilishaisha,Ni wakati wenu wa kurudi kule kwenu nyan'gwale kupanda fisi za kichawi ndio tallent yenu[emoji3]
 
mkuki kwa nguruwe mtamu, kwa binadamu nchungu, kwanini hamkumwonya mwenda zake aache ubaguzi kwa makabila mengine na upendeleo wa waziwazi kwa wasukuma? HAKUNA LINALODUMU MILELE, TULILIA SANA NA MWENYEZI MUNGU AMETUSIKIA!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…