Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Nyie chapa ng'ombe ni hatari sana kwa taifa.Weka orodha ya mawziri, na viongozi wengine wa jiwe na kanda wanazotoka tuone wasukuma ni wangapi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyie chapa ng'ombe ni hatari sana kwa taifa.Weka orodha ya mawziri, na viongozi wengine wa jiwe na kanda wanazotoka tuone wasukuma ni wangapi
wasukuma ndio wanaamua nani awe rais au hujui ilo? sasa nyie wachaga wa chadema endeleeni kuwatukana, mtaenda usukumani kuwaomba kura.Na msukuma hatakuwa rais tena kamwe. Labda muanzishe Jamhuri yenu ya Wasukuma
Hatutaweza kubaki salama.Daah! Basi sawa mkuu.
Bora tufanye siasa za vyama tu hizi za kikabila zitatupeleka pabaya.
Bahati nzuri kwetu sote waTanzania, sio wasukuma wote wala wachaga wote waliovilaza kama nyinyi wawili mnaojibishana hapa kama mazuzu.wasukuma ndio wanaamua nani awe rais au hujui ilo? sasa nyie wachaga wa chadema endeleeni kuwatukana, mtaenda usukumani kuwaomba kura.
Kama walivokupelekea wewe na Mama yako.Inaonekana walikupelekea moto matakoni
Mkuu kwa ufafanuzi wa ziada.Umemalizia vizuri lakini umeanza vibaya. "Interahamwe" kilikuwa kikundi cha kijeshi cha Wahutu nchini Rwanda kilichokuwa na lengo la kuua na kumaliza Watusi na wenye mlengo kama wao. Neno lenyewe linamaanisha "Piga pamoja". Umechanganya na " Banyamulenge" ambao ndo Wanyarwanda walioko milima ya Mulenge nchini Kongo.
Siyo kweli, malalamiko yalitoka karibia nchi nzima isipokuwa Dodoma na hao Sukuma Gang. Baraza la Mawaziri lilijaa Wasukuma wengi, tena isiishie hapo, kuna baadhi ya ofisi Kisukuma kimekuwa ni lugha rasmi ya mawasiliano.Taja safu yote ya viongozi na kanda zao wanazotoka tuone wasukuma ni wangapi?
Alafu nilishawahi kuhoji kwanini wanaolalamika ukabila wa Magufuli ni wachaga tu?
Wewe utakufa na stress tu wasukuma wataendelea kuwepo tu na kwa sasa maendeleo ni makubwa sana tu kwa sababu ya kujituma kufanyakazi wewe endelea tu na udaku wakati wenzako wanapiga kazi.
Nitajie majina ya mawaziri watatu waliokuwa wasukuma, ukiweza nipo tayari kufanywa lolote.Siyo kweli, malalamiko yalitoka karibia nchi nzima isipokuwa Dodoma na hao Sukuma Gang. Baraza la Mawaziri lilijaa Wasukuma wengi, tena isiishie hapo, kuna baadhi ya ofisi Kisukuma kimekuwa ni lugha rasmi ya mawasiliano.
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Unawashwa na wachaga? Endelea kuchunga mbuzi hapo itilima sio Level yakoTaja safu yote ya viongozi na kanda zao wanazotoka tuone wasukuma ni wangapi?
Alafu nilishawahi kuhoji kwanini wanaolalamika ukabila wa Magufuli ni wachaga tu?
Zama za ushamba zilishaisha,Ni wakati wenu wa kurudi kule kwenu nyan'gwale kupanda fisi za kichawi ndio tallent yenu[emoji3]mkuu THE LOST usipambane na wajinga, wajinga hupuuzwa
Walioshikilia msemo huo, wengi ukiwaambia wakutajie majina ya wasukuma kwenye serikali ya Magu, watamtaja hadi Majaliwa na Bashiru
Ni vichwa panzi tuwapuuze.
mkuki kwa nguruwe mtamu, kwa binadamu nchungu, kwanini hamkumwonya mwenda zake aache ubaguzi kwa makabila mengine na upendeleo wa waziwazi kwa wasukuma? HAKUNA LINALODUMU MILELE, TULILIA SANA NA MWENYEZI MUNGU AMETUSIKIA!Nipo natafakari namna nchi hii imekuwa, hakuna jambo baya kama kumtambua mtu na kumponda kwa kutumia kiashiria cha kabila lake.
Hivi karibuni kumezuka tabia ya watumiaji wa mitandao hasa katika maswala ya kisiasa kutumia neno SUKUMA GANG kama utambulisho wa watu fulani waliokuwa wanafanya kazi kwa karibu na aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania hayati John Pombe Magufuli.
Binafsi neno hili naona linaweza leta matatizo ya kijamii kama ambavyo maneno Intarahamwe, facism, na mengine ya namna hiyo yalivyopelekea matatizo kwenye jamii.
Hivyo kutokana na neno hili kuwa na mlengo wa kibaguzi na chuki ni heri mamlaka kupiga marufuku matumizi ya neno hili pia niwaombe wahusika wanaotumia neno hili kuacha mara moja.
waliona raha sana jamii nyingine kutengwa na kila lililozuri kwenda chato, sasa wanavuna walichokipandaNi kweli lakini haya yote aliyapandikiza mwendazake
Hawa jamaa ni majinga sanaTatizo la marehemu unasingizia Wachaga
AfadhaliAsante kwa kuliona hili mkuu... Hili genge ni hatari likiachwa limee.
Bahati nzuri mlezi wao ameshafariki
Umetisha sanaKinyeo
Huyo ndiye derevaMagufuli aliipeleka hii nchi kwenye korongo la ajabuuu
Umechemka sanaMsoga gang je?
1😀eo SangaMama aongezewe muda atake asitake na akikataa alazimishwe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]