Msanifu wa jengo ni Mtanzania ila alichofanya bora tungechukua Mwarabu

Hapo mtu anaweza lipanda kwa urahisi tu maana limekaa kama ngazi. Mimi wasiwasi wangu ni huo kuwa wezi watakuwa wanapanda kwenda juu kirahisi maana wamewekewa ngazi kabisa kupanda juu ya paa...

Hizo zinaoonekana kama ngazi, ni picha tu Mkuu, Ni parefu yaani gorofa
moja na lingine
 
Unafikiri hadi hiyo michoro inapitishwa ni msanifu mmoja tu kahusika? Wao wameangalia standards wanazoweza kumudu asilimia kubwa ya watu wanaowalenga. Huwezi fananisha hoteli ya nyota 5 Dubai na ya Mwanza, kule wanalenga soko tofauti na huku..,

Au bei za nyota 5 duniani kote zinafanana?
 
Lilijengwa lini? Maana tusijadili ambcho pengine kwa Leo ndio inaonekana imekosewa wakati wakati huo ilikuwa sawa.
 
Lilijengwa lini? Maana tusijadili ambcho pengine kwa Leo ndio inaonekana imekosewa wakati wakati huo ilikuwa sawa.
Hiyo ni hoja ila kiwango cha chumba cha hoteli ya nyota 5 hakijawahi kubadilika
 
Lilijengwa lini? Maana tusijadili ambcho pengine kwa Leo ndio inaonekana imekosewa wakati wakati huo ilikuwa sawa.

5-star hotel room size​

The standard size of a 5 star hotel room will vary, particularly from country to country.

Some regulators say that a room should be a minimum of 200 square feet (18.5 square metres) excluding the bathroom. In certain areas of Spain, the 5 star hotel room size for double occupancy must be at least 183 square feet (17 square metres). Meanwhile, 5 star hotel rooms in the US are generally expected to be over 400 square feet (37 square metres).

Experience, function, comfort and amenities will largely outweigh square footage when it comes to guest satisfaction, particularly for those paying a premium for 5 star or luxury accommodation.

5-star hotels in particular must therefore provide guests with exceptional service. Amenities and services to consider including are:

  • Laundry, ironing, dry cleaning and shoe polishing
  • Luxury robes & slippers
  • Safe and lock boxes
  • Full length mirrors with lighting
  • Air conditioning
  • Smart, flat-screen TV
  • Fully stocked mini bar complete with all relevant accessories
  • High-speed wifi
  • Multiple lighting settings
  • Bedding with high thread-count
  • Blackout shades
  • Luxury toiletries and personal care products
  • Coffee machine
  • Comfortable seating and entertaining area
  • 24/7 gym access
  • Pool, spa and sauna
  • 24/7 access to room service

ili kuweka mambo yote hayo chumba lazima liwe kikubwa kiasi​

 
Chumba cha nyota 5 kinatakiwa kiwe na urefu na upana gani na hivi kwenye hii hoteli vina ukubwa gani. Maana naona unaishia kusema ni vidogo ila husemi huo udogo umeupima vp. Je tunaweza pata picha ya chumba hata kimoja kama mfano, isije kuwa yaleyale ya Tz na ma engineer misheni town wazee wakuponda kazi za wenzao
 
Tupe vipimo vya vyumba vya NSSF Hilton hotel Mwanza
 
nimeshaweka humu ndani- usome tu utaona
 
Tupe vipimo vya vyumba vya NSSF Hilton hotel Mwanza
Mpaka naleta hii mada- vipimo vyake ni vidogo kuliko viwango vinavyotakiwa kwa hoteli ya nyota tano, na hili ni CONCERN kwa anayetaka kuichukua ile aiendeshe bila kubadili lengo la kuwa na hoteli ya nyota tano Mwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…