Msanifu wa jengo ni Mtanzania ila alichofanya bora tungechukua Mwarabu

Nyota za hoteli haziangalii ukubwa wa jengo bali wingi wa facility zinazopatikana na kiwango cha ubora wake, umaliziaji na urahisi wa miundombinu. Kuna hoteli zina vyumba kumi na ni nyota 5.
mfano?
 
Kaka hivi unajua ni miradi mingapi NSSF wamekula hasara?
Kwahiyo na hiyo Hotel italeta hasara? unadhani huo ni kama project uchwara zile za porini kule Kigamboni! unalijua jiji la Mwanza au unalisikia tu yaani wageni wanaoingia Mwanza ishindwe kuaford hiyo Hotel. %40 ya domestic Passengers wa ATCL wanaenda au kutoka Mwanza!na bado hawaja advance kuwa International Airport kwa kukosa Passenger building ambayo bajeti hii wamewatengea pesa kuijenga. Tukatae au tukubali Mwanza ni giant City kwa nchi hii baada ya Dar na wanastahili kuwa na mamiradi makubwa kama hayo na yakaleta faida! labda kwa mtu asieijua Mwanza na miji mingine hii inakazi kubwa sana kuja kuifikia lile jiji la wasukuma. Kwa miradi waliyonayo ya lile Daraja la kigongo_busisi na lile la daraja la juu la sgr pale Mkuyuni itawapaisha sana.

Sent from my D6503 using JamiiForums mobile app
 
Shuda nini, badilisha jina uite nyota 4 au 3, kikubwa soko walilolenga liwafae
 
Aliyesanifu ni mgogo, sasa ulitegemea nini? Ulishawahi kuingia kwenye nyumba zao za tembe? Hakuna tembe yenye nafasi kama Noah
 
Mjengo umshushwa tu pwaa. Hakuna cha landscaping wala nini. Nyumba zote nyuma ya hotel, pia za kulia na kushoto ziondolewe hadi mita 200. Sehemu ipandwe ukoka, miti mizuri. Ijengwe swimming pool na outdoor bar + BBQ grill
 
That is a good question. The answer to that is that we go for the standard, especially when the other part is not local. This issue has cropped up because the would-be investor is a foreigner.
Some is not all bro...the other part ain't local too,so standards seems vast not only the dimensions you gave
 
Huko mwanza hotel ya nyota 5 nani anaenda kulala,hao wazungu wa migodi wanakuja na ndege zao jioni wanarudi kulala masaki
 
Hii ni kati ya miradi ya kifisadi iliyokuwa ilibuniwa na nssf ikishirikiana na CCM kupiga pesa za wafanyakazi. Msonga, Dr Dau....
Shemeji yake na dau ndio alikua anapewa tender ya kufunga umeme majengo yote ya nssf....sasa hivi ni bilionea
 
Kile kiwanja cha ziwani hawakukinunua tena
 
Mimi nilikuwa najua nyota 5 ni jina tu kumbe ni hadhi ya hotel iyo ya nyota 3 na 4 inakuwaje?
 
Unadhani waliobuni waliwaza mambo ya wateja? Watu washavuta 10% hayo mengine mtajuana kwenye maandamano yenu uchwara
 
Kila floor walikuwa na cateotization zake, sio vyumba vyote ninkwaajili.ya VIP au.VVIP people, kuna vyumba vya makabwel kama sisi, nyota tano inaangalia watu wa aina zote kwa ngazi zote na ina facilities zote muhimu na std za kamataifa, alafu hiyo picha uliyoweka hapo ni mali yangu ungenipa apprec.. yangu kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…