TANZIA Msanii Albert Mangwea afariki dunia

Aiseee There are currently 11084 users browsing this thread. (288 members and 10796 guests).......RIP alberto japo huwa bilionea wa arusha umefunika idadi ya users zaidi ya bilionea nyaga.....
 
Wadau wa muziki tukubali ukweli wasanii wanaangamizwa na poda tena wengi sana.
TID naamini utajifunza jamani kama mmeshindwa ombeni msaada matibabu yapo!
Tuwasaidie hawa vijana maana watoto wetu wanawaiga hawahawa kwa siri!
 
R.I.P brother. Nakumbuka sana wimbo wako wa dakika1...sijauchoka mpaka leo.
 
Jamani kweli chanzo cha kifo chake hakifahamiki hadi sasa??
 
km amefia ucngzn bac kifo chake kimekuwa cha raha,r.i.p bro!.
 
Jamani kweli chanzo cha kifo chake hakifahamiki hadi sasa??

taarifa za mtaani nyepesinyepesi zinasema alikuwa ni kontena ... alishabwia kete za kutosha ,.. zikampasukia tumboni kafia hoteli ..

R.I.P
 
Aiseee There are currently 11084 users browsing this thread. (288 members and 10796 guests).......RIP alberto japo huwa bilionea wa arusha umefunika idadi ya users zaidi ya bilionea nyaga.....

Duu si mchezo amefunika mabilionea wa arusha.
 
Yote yanawezakana lakini dogo alikuwa mtu wa madude.
 
Eh sasa shemeji yetu mdhungu si atajinyonga,maake kwa Ngwair alikuwa ndo kafika,utakumbukwa pale Mkony Pub Maikocheni karibu na Clouds FM
 
"nikifa leo pengo langu halina spare mi ndo mi hatuwezi kuwa pair so nageuka mac-regan nawaambia endelea"-Ngwair
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…