Mzito Kabwela
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 18,887
- 7,673
Rip Ngwair
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili ni JOTO HASIRAAAAA!Na wewe kimekuwashia nini hadi umejishughulisha na kuninukuu? Unatafuta mkunaji?
Hili ni JOTO HASIRAAAAA!
aiseee....mnaanza kukunana tena jamani? muwe na adabu.....Na wewe kimekuwashia nini hadi umejishughulisha na kuninukuu? Unatafuta mkunaji?
arifu niaje bana..kuna ka kiranja kapo hapa kanajifunza.....Basi nenda kaolewe na Gadna Habashi awe anakupulizia upepo na kukupunguzia hasira
Umeamua kuliandika lile original sio? Haya!Albert Mangwela.
arifu niaje bana..kuna ka kiranja kapo hapa kanajifunza.....
Albert Mangweha is no more according to PekuaTz
Ulazwe panapostahili Buddy. Nitakukumbuka kwa kutegea shule na safari nyingi sana za Sudani kipindi kile tukiwa Complex aka University of Dodoma. Na mitaa ya kule chamber squad.
Duniani wapitaji ni vema tujiandae!
Full from that site:
![]()
TAARIFA ILIYOTUFIJIA HIVI PUNDE,INAELEZA KUWA MSANII WA MUZIKI WA BONGO FLEVA,ALBERT MANGWEA (PICHANI) AMEFARIKI DUNIA HUKO NCHINI AFRIKA YA KUSINI.
CHANZO CHA KIFO CHA MSANII HUYO BADO HAKIJAFAHAMIKA.
GLOBU YA JAMII INAENDELEA KUFUATILIA TUKIO HILO LA KIFO CHA MANGWEA NA TAARIFA KAMILI ITAKUJA BAADAE .
Jamani kweli chanzo cha kifo chake hakifahamiki hadi sasa??
Aiseee There are currently 11084 users browsing this thread. (288 members and 10796 guests).......RIP alberto japo huwa bilionea wa arusha umefunika idadi ya users zaidi ya bilionea nyaga.....
Inavyodaiwa ni kafia akiwa usingizini. Sasa kama alikufa akiwa usingizini ina maana autopsy keshafanyiwa na toxicology report ishatoka na inabainisha kwamba kafa kwa drug overdose?
Manake mtu kufa usingizini yaweza kuwa pia alipata shambulio la moyo....au tu kafa kwa natural causes. Hiyo ya drug overdose ni kweli ama ni usadiki tu wa watu?