Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
Nlikuwa msikilizaji mzuri wa redio na Sasa ni mtumiaji wa mitandao naona tofauti kubwa.... kipindi Malebo ni jambazi mi nlikuwa naskiliza KBCUngejua mitandaoni Kuna uozo Sana, ndo maana Millard ali teka soko kubwa. Kwa sababu ya taarifa rasmi
Nliona tu Instagram sio live japo naweza nkaonana nae nikiamua😁🤣😁Kaka ungeomba picha
Malebo yule mwambia ni balaa😃🤣, Waka mtungia na Nyimbo😃Nlikuwa msikilizaji mzuri wa redio na Sasa ni mtumiaji wa mitandao naona tofauti kubwa.... kipindi Malebo ni jambazi mi nlikuwa naskiliza KBC
Yaani huyo Mwamba nazikubali kazi zake kuliko Msanii yeyote hapa Tz ni Yeye ni Mr Blue ndio Wasanii ninaosikiliza sana nyimbo zao.Yaan kuna muda huwa najihisi hivyo 🏃🏃
Wewe una fukuzia Nini mkuu😆🤔Chinga yeye ana kazi ya kufukuzia matako tu.
Kumbe we ulikuta nyimbo😄😄uwe na heshima bwana mdogoMalebo yule mwambia ni balaa😃🤣, Waka mtungia na Nyimbo😃
Kusaga wanamuhusinisha na wasafi na hii hapa?Kusaga effects
Rihanna mwenyewe ni ambassador wa Fenty beauty, kapewa share kiasi.Kusaga kampa share
Kaka we 30 Ume fika😆??Kumbe we ulikuta nyimbo😄😄uwe na heshima bwana mdogo
Salute kwa Nifah kwa kuleta hii in pre-infocast.Staa wa muziki wa Bongo Fleva @officialalikiba amezindua radio yake mpya inayoitwa CROWN FM ambayo inapatikana 92.1 Fm.
Alikiba ameeleza sababu za kuzindua Radio kuwa ni njia pekee iliyoinua career yake na watu kumfahamu kupitia Radio.
Baada ya kuwa msanii kwa takribani miaka 20 sasa anakuwa miongoni mwa Wasanii na watu wanaomiliki Radio.
View attachment 2929868
🤣🤣Kaka we 30 Ume fika😆??
Kweli dunia uwanja wa fujo, wewe ukijua hivi wengine wanajua vile.Ndio mnipe heshima yangu sasa 🙂
Jibu swi Nyumbu ehh😆😃🤣
MImi binafsi sikuwa nafahamu asee, nilikua mbali kidogo na bongo flevaBro issue ya redio ime julikana kitambo tu,
Angejikausha afu mm mwenyw mikausho kibao tungevimbaiana tuHukwenda kumsalimia??😆
MAPENZI Yana run dunia, Mali yangu, khadithiYaani huyo Mwamba nazikubali kazi zake kuliko Msanii yeyote hapa Tz ni Yeye ni Mr Blue ndio Wasanii ninaosikiliza sana nyimbo zao.