Msanii Ali Kiba azindua Redio yake, inaitwa Crown FM

Msanii Ali Kiba azindua Redio yake, inaitwa Crown FM

Staa wa muziki wa Bongo Fleva @officialalikiba amezindua radio yake mpya inayoitwa CROWN FM ambayo inapatikana 92.1 Fm.

Alikiba ameeleza sababu za kuzindua Radio kuwa ni njia pekee iliyoinua career yake na watu kumfahamu kupitia Radio.

Baada ya kuwa msanii kwa takribani miaka 20 sasa anakuwa miongoni mwa Wasanii na watu wanaomiliki Radio.
View attachment 2929868
Safi sana.
Hawa wachigoma wanaendelea kuongeza Ajira kwa vijana.

Ni jambo la kupendeza sana
 
Mihogo mnaichukulia poa sio? Mtu kama ww unaweza Kuta unaona ufahari kula chips zege.
Sijawahi dharau mihogo, kipindi nipo chuo nlikuwa nagonga mihogo vbya sana ukila saa nne au tano mzee hyo ni mpaka jioni, mpaka saiv naipiga sana kama saiv saa mbili au tatu jua lishawaka kupiga chai chapati au supu ni kipengele ko nachukua mihogo na juice au soda
 
Back
Top Bottom