Tetesi: Msanii Alikiba ampa talaka tatu mkewe chanzo kikiwa ni ndugu na kurogana

warabu wanaesh uko mmoja nyumba moja hawana vurugu kama hizoo,,,baadhi ya wahindi piaaa,,,na wengineo usio wafahamu tembea uone usikariri maneno!!wanawake wenye tabia mbaya wapo aijalishi mna ishi nyumba moja au laa!!
 
Mm si mtalamu wa saikolojia ila toka mwanzo ukiangalia picha ya ule binti utadunhua kuna ishu au ni ametolewaga bandama maana hatabasamu sana kivile kama anakitu cha ndani na sasa haya yaliyotokea naona kama kulikuwa na kitu... halafu wakenya na huu uswahili wetu wapi na watu tunajazana sana Amina kaanze maisha mapya hao ndo watanzania Na yule wa DIMAOND SIJUI MAANA MAMA DANGOTE KUTOKA PALE HEEE SIJUI
 
warabu wanaesh uko mmoja nyumba moja hawana vurugu kama hizoo,,,baadhi ya wahindi piaaa,,,na wengineo usio wafahamu tembea uone usikariri maneno!!wanawake wenye tabia mbaya wapo aijalishi mna ishi nyumba moja au laa!!
Hao si waafrica basi inawezekana waswahili tu,eiga toka kwa waarabu, wahinfi nk
 
CCM 56:7 inasema mtakapoona dalili hizi ndipo mjue tunaingia uchumi wa kati tukiongozwa na nabii jiwe
 
ukoo mzima unamtegemea alikiba.. Nayeye ndio hivo pesa za kuunga unga
 
Mengi amesemwa ya kweli na yakutunga na mengi sana yatasemwa dhidi ya kijana huyu ambaye anajiheshimu na kuheshimu watu sana. Namshauri anayamaze wala asijibu tuhuma kama hizi kwani wakati ndiyo utakaosema.
 
Alidhaminiwa na Joho.
 
Uko sahihi ndugu.
Huyo mke wa Alikiba aliona mbali kuliko Alikiba.
Kujazana na ndugu kibao kwenye nyumba moja ni staili ya kizamani.
Kama unawapenda ndugu wape mtaji wainuke kimaisha na sio kuangaliana masaa yote.
 
Kama ni kweli basi nimemdharau sana Ally Kiba,Star mkubwa kama yeye halafu anaishi kifala namna hiyo maana yake nini?
Daima huwa nawadharau sana mastaa wa kibongo,hawana tofauti na watu ambao hawakwenda shule!
Kwani Kiba ana shule ipi kichwani .

Shulr muhimu Sana katika kufanya maamuzi kuna watu wataponda Sana

Ila shule muhimu jamani

Hahahaha
 

Haya mambo wakati mwingine hayanaga kanuni ya aina moja, kwa hiyo usikariri!

Kuna familia zimekuwa zikiishi hivyo bila matatizo yoyote, kama kupishana kunakuwa kwa mambo madogo madogo yasiyopelekea kuachana!
 
Mhh sidhani kama hizi habari ni za kweli, sijawahi tegemea haya kwa Alikiba, tho anaonekana kuwa na issues.
 
Kwani ndugu wengi wa Ali Kiba ni wapi maana najua Ali ana ndugu wa damu wa 3 ambao ni Abdu, Zabibu na yule dogo wa mwisho.

Zabibu kaolewa zake huko, Abdu ana mke moja kwa moja hawezi ishi na kaka yake, mama yake kiba anaishi kivyake na yule mwanae wa kiume wa mwisho. Waliobaki ni watoto wa kiba kama wawili hivi, hao ndugu ni wapi sasa waliojazana kwa Ali?
Hizi habari za kupika tabu tu.
 
Yule mama haiba yake tu sisi wataalamu wa saikolojia tulishang'amua

Kuna video flani niliona anamtazama mke wa abdu kiba nikashangaa[emoji44]
Elezwa sasa alomtenda marehemu mumewe utachoka hata kumsikiza mwanae akiimba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…