Tetesi: Msanii Alikiba ampa talaka tatu mkewe chanzo kikiwa ni ndugu na kurogana

Tetesi: Msanii Alikiba ampa talaka tatu mkewe chanzo kikiwa ni ndugu na kurogana

Wasalaam wajamvi!

Msanii Alikiba a.k.a King Kiba amempa talaka tatu mkewe Amina raia wa kenya baada ya kushindwa kupata muafaka juu ya ugomvi wao na ndugu wa Alikiba na Mama wa Alikiba.

Ndoa ya King Kiba ilianza kuingia dosari baada ya Amina kutaka ndugu wa Alikiba wakajitafutie maisha yao na wajitegemee jambo ambalo lilizua taharuki na ugomvi mkubwa baini ya ndugu wa Alikiba na Amina..

Amina alidai ni vigumu kuishi na watu wengi vile ndani ya nyumba moja hata kama ni ghorofa na bado kuwe na amani...hivyo alimshauri alikiba awape mitaji wakajitegemee au awapangie nyumba nyingine.....

Hili jambo liliendeleza mgogoro mkubwa hadi Mama Alikiba kiingilia kati na kutaka Alikiba amuache Amina na akadai apendi hata watoto wa Alikiba kuwa pale....

Wakati hayo yakiendelea kutafutiwa uvumbuzi mtoto wa Alikiba aliugua na kupatwa ugonjwa ulio sababisha awe ana anguka kila muda.....hili lilichochea moto kwani ndugu na Mama Alikiba waliamua kufunga safari hadi kwa fundi ndipo alipotoa tv [emoji342] na kuwaonesha chanzo cha ugonjwa wa mtoto ikidawa amelogwa na Amina mke wa King [emoji146] kiba.

Hivyo basi Mama na ndugu baada ya kutoka kwa fundi walirudi na kumchana live Amina kuwa anataka kumuua mtoto wa King Kiba hivyo lazima aondoke jambo ambalo lilizua ugomvi mkubwa huku Amina akilia kama mtoto na kuwambie hawezi na hana tabia hizo labda kama wanataka aachane na ndugu yao lakini wasimsingizie....

Ugomvi ulikuwa mkubwa sana kupelekea Amina kubeba mwanae na kurudi kwao mombasa huku akitaka kupewa talaka maana ndoa imemshinda!

Mnamo mwezi wa nane mwisho King Kiba alimpa talaka Amina ili aendelee na maisha yake uku wakishirikiana kulea mtoto.

Wasalaaam
Kuishi nyumba moja na watu wa kigoma Tena wawe ndugu Ni shida pia yataka moyo labda kama na yeye angekuwa wa huko wangeondoka mmoja baada ya mwingine
 
anakua chini lakini hajaolewa kua MTUMWA.....ndio mana Faiza foxy anasemaga yeye Hajaolewa na mume wake bali Wameoana. mume amsikilize mke na mke amsikilize mume.
Wanawake wengi wakiolewa wanadhani khama na kukaa wao wawili ndio maisha yanaishia hapo
Jamii za karibu na kihindi hata za baadhi ya kiafrika ukiolewa unaenda kukaa kwa familia ya mke wako majanga uchumi
Italian huko utachunga ng'ombe huko na ghasia zote at last unakuja uko u a nguvu za kiuchumi na rasilimali
Sasa hivi vijike vingine vinataka mkakae wenyewe ili view vinashinda ndani kuangalia tamthilia tu na series za kimora na kijapan
Viacheni kwa wakwe vinyoshwe
 
Yaani, unajikuta unashinda na madera kila siku.. Huwezi hata kusema leo nirosti mboga tamu mume ajilambe. Watu wamejaa, chuzi linahusika
Hapana ndugu, ndoa changa inaraha yake, lakini mmm hata kama mnauwezo kifedha lakini kupeana nafasi muhimu sana, kuna viongozi wa dini unaulizwa unaona mke mnaenda ishi naye wapi !
 
Wanawake wengi wakiolewa wanadhani khama na kukaa wao wawili ndio maisha yanaishia hapo
Jamii za karibu na kihindi hata za baadhi ya kiafrika ukiolewa unaenda kukaa kwa familia ya mke wako majanga uchumi
Italian huko utachunga ng'ombe huko na ghasia zote at last unakuja uko u a nguvu za kiuchumi na rasilimali
Sasa hivi vijike vingine vinataka mkakae wenyewe ili view vinashinda ndani kuangalia tamthilia tu na series za kimora na kijapan
Viacheni kwa wakwe vinyoshwe
kuna point hapa
 
Mi juzi juzi tu walinitibua. Nalea mkwe hapa kwangu, mgonjwa. Ndugu wa mume wakija kumuona ndugu yao ni manenoo kibao mara simuhudumii vizuri, analishwa vyakula vibaya (mtu atakuja na 2kg ya mbuzi halafu anawaambia wanangu hiyo ni ya baba yake tu wengine wasionje), tunamtenga sisi tunashinda kazini yeye anashinda na wafanyakazi.. wakaitana hadi kikao.
Nikaona isiwe tabu, nikamwambia mume kuna transfer za kikazi tumeambiwa anayetaka kuhamia kwenye branch ya mkoa flani aandike barua ahamie huko. Sasa mimi naandika barua nitahamia huko. Akanijibu, je unanikimbia mimi? Nikamjibu, nafikiri tukiishi mbalimbali tutakuwa na amani zaidi. Akasema, kama umenichoka basi acha mimi ndio nifanye mpango wa kuhamia mkoa mwingine, wewe baki hapa na familia. Nikamwambia, mimi ndio uniache na hawa watu wako. Wewe baki hapa na familia yako, mimi nahama.
Wewe, mbona aliwaweka kikao hao ndugu zake. Sasa hivi heshima na adabu kama zote.
 
Hapo ndo huwa sielewi unakuta unaletewa mama mkwe kapooza kila kitu hapohapo maisha yako yote yanakufa ilhali ana watoto wa kike mji huohuo mdomo sasa,mbaya wewe yakikushinda uwarudishie mzigo wao utaona mpambano unaotokea hapo.
 
Raha ya ndoa ukae na boxer sebuleni huku mkeo anakinguo cha kulalia mara apike mara aje sebuleni akukiss huku mnaangalia zenu mechi ya Atalanta bc vs Juventus. Sasa umeoa ukigeuka kushoto mama ako huyo, ukija sebuleni baba kashika rimoti. Unataka umgonge mkeo bao la mchana mtoto wa dada yako kaja kugonga mlango wa chumbani. Mm nawatimua ndugu warudi nyumbani tu.
 
Wanazani ndoa ni kama kuimba AJE AJE
ndoa ni changamoto
Changamoto nyingine ni za kujitakia.

Kwanza, Kijana Ali ana uwezo wa kipesa, kwanini asingetafuta nyumba nzuri nyingine mahali mbali na familia hio ambayo inaonekana wazi ndio ina shida ? Mbona familia zingine wanaishi vizuri mama mkwe anaishi vizuri na mke wa mwanawe, hata mawifi, ila Jamii nyingi hususani za kiafrika, ignorance, poverty, education, fetishness, ni tatizo, mama mkwe hampendi mke wa mtoto wake, mawifi nao hivo hivo, sijui wanaona anafaidi sana..hio ipo sana, lengo la huyo mama yake plus mawifi limetimia ..na Kijana Ali hajafikiria as grown ass MAN
 
Kikosi kama mtibwa sugar [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila Kiba naye anakosea! Huwezi kuishi na familia kubwa hivyo wakati umeoa. Choko choko zitakuwa nyingi tu. Kingine ndugu wasichojua huwa wanataka wawejuu ya mke. Wakati mke ni kwake yeye ndiye mama mwenye nyumba watazinguana tu.

Kama anampunga angefanya kama mkewe alivyomshauri angewapa mitaji wakachakarike na maisha huko.

Kukaa na ndugu sawa ila siyo kukaa na kikosi.
 
Mama + mawifi + mke = [emoji91]
Fire ya nguvu, kama mtu hujawa tayari kuishi na mtoto wa watu kwanini usikae na ndugu zako tu kwanza! Kuliko kujazana kama makopa kama niwatu wazima nikuwawezesha huko wajitegemee!
 
Back
Top Bottom