Msanii AY afunga ndoa na mpenzi wake huko Rwanda

Hiv kabisa mbwembwe za sherehe zinawatamanishaga kuoa kabisa???
Ahahaah.
😁😁😁 brother kuna ile vibe, familia nzima, marafiki, classmates na workmates wote kwenye room moja. Mnakunywa, mnacheza na kufurahi

Yani ni once in a life time moment
 
Muoe kwenu
 
Muoe kwenu
 
Kwenda huko weweeee! Vijiba roho tu. Mbona VANESSA alivyochumbiwa Marekani na kumucha JUKUSI hamkulalamika ila mnataka kuleta nongwa kwa AY kuoa hapo Rwanda ???
Aaaaa sisi wanawake kwa vile ni wengi ni ruksa kuolewa nje ila wanaume wachache muoe hapa hapa nyumbani allaaaaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…