Msanii AY afunga ndoa na mpenzi wake huko Rwanda

Nilipoona tu uzi umefukuliwa, nikajua tu tayari kuna chupa limeamka na chai...
 
Tunazungumzia mke sio mwanamke was maonyesho
Bwahahaha, mke ni mke tu, maadam umemuoa. Hivyo msiwapangie watu maisha, na amuoe nani. Mimi nashauri vijana waendelee kufurahia maisha na kuoa wake watakaowapenda hata nje ya nchi.....
 
Mbulula huyo,, anadhani watutsi siwajui[emoji23]
Kuniita mimi Mbulula hakubidilishi ukweli mchungu. Kwamba, moja ya kigezo ambacho wanaume huangalia kwa mwanamke ni uzuri na mvuto, siyo tabia peke yake. Sasa mkitaka kuwapangia watu maisha ambao hata hamuwafahamu haitasaidia. Kila mbuzi na kamba yake.....
 
Nimeishi Rwanda, nimeishi Tanzania.Kiufupi hapa EA nzima hakuna kama Tutsi women. Walau Nyaturu, Meru na Iraki ndiyo wako moto...

Hivyo msiwapangie watu maisha. Waache vijana waoe wanawake wanaovutiwa nao....
Wasichana wa kawaida sana hao wazur wapo kila kona watutsi wako overrated sana maana hawajiheshimu ni watu wa maonyesho nenda Ethiopia kaone wanavyojitanda utajua wapi wazuri...hao uliotaja ni wale wa Kick za kimtandao na Wana mtandao mrefu kweny sex tourism kwanza kujiheshimu tu balaa Kun page inaitwa Kigali news utaona wanajiuza
 
Jambo la kawaida hilo, kuacha na kuachwa...

Sisi tunapiga tantalila tu humu mitandaoni sababu ya umaarufu wa Ambwene...

Si ajabu wao tayari walishakubaliana kitambo na maisha lazima yaendelee...

Ndio mbakie nyumbani
 
Kumbee Ni madanaga waandamizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…