MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
Mbali na tabia ngumu za watusi, ukweli ambao vijana wengi hawataki kuusikia ni kwamba NDOA SIYO RAHISI.Hao watutsi hasa wazaliwa wa Rwanda na nchi zingine mbali na waliozaliwa Tz ni very complex na maisha yao yako structured kama wazungu tuseme kama robot, kwa sisi kibongo bongo ni ngumu sana kuishi nao.
Omba yasikukute. Tena kama hujaoa au kuolewa ndiyo kabisa ujifunze kunyamaza....Ndoa chali
Waoe nyumbani bana
Sas itabidi uje Hapa uwaombe radhi dad zetu hasa wa Hapa DSM leo nimesiki kuwa jmaaa mke wake na alikiba wore Ni wasomi mmoja ni muhasibu ya manispaa ya Mombasa na mwingine Ni engineer wa ujenzi ,sas ndoa zao zote zimekufakifo kibaya Sana ndoa aliudhuria had rais na viongozi wa mashirika na vigogo wa serekali lkn wapi zimekufakifo Kuna n ktk ndoa hz za kigeni na za Hapa ndaniWanawake wa bongo endeleen kufuga makucha kama jini, endelea kukuza makalio na kusuka mawigi waume zenu bado hawajazaliwa na mtakuja kuolewa na wajukuu zenu
Nywanoko benywe
LONDON BOY
Brother umenena harusi zinapendeza sana na siku hizi mbwembwe zile unaweza tamani kuoa kesho yake ila kuhusu ndoa endeleeni kupambana kwa kweli ππMbali na tabia ngumu za watusi, ukweli ambao vijana wengi hawataki kuusikia ni kwamba NDOA SIYO RAHISI.
Ndoa huwa inaanza baada ya harusi, tena inahitaji watu wenye nidhamu ya hali ya juu sana ili kufanikiwa.
Si wote, nikiwemo mimi!Wanyakyusa ni washamba na huwa wamapelekeshwa na wake zao.
Mahusiano magumu tu siku hizi hakuna cha kuoa mzungu, mtutsi au hawa wa kienyeji. Watu wanachokana mapema kwa sababu kila mtu ana exposure ya kuona na kuonja vitu/watu wengine. Exposure ambayo kabla ya kuendelea kwa technology haikuwepo.Watu wanavuka mabara kurudi home kuoa wao wanajifanya kuoa majirani acha wakome
Hiv kabisa mbwembwe za sherehe zinawatamanishaga kuoa kabisa???Brother umenena harusi zinapendeza sana na siku hizi mbwembwe zile unaweza tamani kuoa kesho yake ila kuhusu ndoa endeleeni kupambana kwa kweli ππ
Hawajui hata hao wanyakyusa hata kidogo.Yan hajui hata kidogo.Si wote, nikiwemo mimi!
Vijana hawataki kuoa omba ombaLaana ya kukataa dada zenu, na bado
πππ ewaaArudi nyumbani afurahishwe na kidumu cha petrol π
Aoe nyumbani πMhhhh, nanyi acheni nongwa zenu bwana. Ndoa siyo rahisi kama mnavyofikiria, hata kama utaolewa na mtanzania mwenzako bila hata mbwembwe. Tukiwa mitandaoni na vijiweni ni rahisi mno kuponda, lakini mkishaingia ndani, Hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Bagosha!, Ndiyo mtaelewa vizuri.
Ila yote tisa, walau hata alifanya kasherehe kazuri na ana historia ya kuoa. Pia bado AY ni kijana mwenye pesa nzuri tu, anaweza kuoa tena. Mwacheni mtoto wa watu....
Weee ndo naona hapaWashaachana walijifanya kwenda kuoa nje ya Tanzania wote wameachika rudin nyumbani kumenoga
Stamina nae chali1. Ben Pol - Chali (Kenya)
2. Kibakuli - Chali(Kenya)
3.Yesaya - Chali(Rwanda)
Ila kweli kuoa mtu nje ya jamii yako kumatch inakuwa ngumu sana ,imagine AY ni bilionea ,mkewe mzuri why hawajaendana? Inakuwaje ghafla tu mkewe awe na boyfriend mpya na waende paris ,means mkewe alikuwa kicheche.
Stamina nae chali
Kwani Masanja alioa wapi?Waoe nyumbani bana
Hatukupenda walivyooa njeKwani Masanja alioa wapi?
Siku hizi hakuna penye nafuu. Ndani moto, nje moto. Cha msingi ni kutafuta kitu roho inapenda. Ili siku ndoa ikivunjika, unakua umeshafaidi!