Msanii AY afunga ndoa na mpenzi wake huko Rwanda

Msanii AY afunga ndoa na mpenzi wake huko Rwanda

Hao watutsi hasa wazaliwa wa Rwanda na nchi zingine mbali na waliozaliwa Tz ni very complex na maisha yao yako structured kama wazungu tuseme kama robot, kwa sisi kibongo bongo ni ngumu sana kuishi nao.
Mbali na tabia ngumu za watusi, ukweli ambao vijana wengi hawataki kuusikia ni kwamba NDOA SIYO RAHISI.
Ndoa huwa inaanza baada ya harusi, tena inahitaji watu wenye nidhamu ya hali ya juu sana ili kufanikiwa.
 
Wanawake wa bongo endeleen kufuga makucha kama jini, endelea kukuza makalio na kusuka mawigi waume zenu bado hawajazaliwa na mtakuja kuolewa na wajukuu zenu

Nywanoko benywe

LONDON BOY
Sas itabidi uje Hapa uwaombe radhi dad zetu hasa wa Hapa DSM leo nimesiki kuwa jmaaa mke wake na alikiba wore Ni wasomi mmoja ni muhasibu ya manispaa ya Mombasa na mwingine Ni engineer wa ujenzi ,sas ndoa zao zote zimekufakifo kibaya Sana ndoa aliudhuria had rais na viongozi wa mashirika na vigogo wa serekali lkn wapi zimekufakifo Kuna n ktk ndoa hz za kigeni na za Hapa ndani
 
Mbali na tabia ngumu za watusi, ukweli ambao vijana wengi hawataki kuusikia ni kwamba NDOA SIYO RAHISI.
Ndoa huwa inaanza baada ya harusi, tena inahitaji watu wenye nidhamu ya hali ya juu sana ili kufanikiwa.
Brother umenena harusi zinapendeza sana na siku hizi mbwembwe zile unaweza tamani kuoa kesho yake ila kuhusu ndoa endeleeni kupambana kwa kweli 😁😁
 
Watu wanavuka mabara kurudi home kuoa wao wanajifanya kuoa majirani acha wakome
Mahusiano magumu tu siku hizi hakuna cha kuoa mzungu, mtutsi au hawa wa kienyeji. Watu wanachokana mapema kwa sababu kila mtu ana exposure ya kuona na kuonja vitu/watu wengine. Exposure ambayo kabla ya kuendelea kwa technology haikuwepo.

Siku hizi watu wanasema mambo wasomaanisha, ahadi hazina tena uzito wa kutimizwa. Mambo ya ndoa kwa ulimwengu huu yashapitwa na wakati, watu wafunge ndoa za mikataba wakichokana wabaki kuwa wazazi wenza tu endapo wana watoto.
 
Si wote, nikiwemo mimi!
Hawajui hata hao wanyakyusa hata kidogo.Yan hajui hata kidogo.
Ila nachoweza mpa kwa kifupi ni kwamba wanyaki kwa ujumla wao ni dominators males and females by nature.Watawala haswa sasa jichanganye.Mwanaume wa kinyakyusa kupelekeshw hizo rare cases sana..wanawake wa kinnykyusa akikukuta upo upo kazi pia utakua nayo...
 
Mhhhh, nanyi acheni nongwa zenu bwana. Ndoa siyo rahisi kama mnavyofikiria, hata kama utaolewa na mtanzania mwenzako bila hata mbwembwe. Tukiwa mitandaoni na vijiweni ni rahisi mno kuponda, lakini mkishaingia ndani, Hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Bagosha!, Ndiyo mtaelewa vizuri.

Ila yote tisa, walau hata alifanya kasherehe kazuri na ana historia ya kuoa. Pia bado AY ni kijana mwenye pesa nzuri tu, anaweza kuoa tena. Mwacheni mtoto wa watu....
Aoe nyumbani 😉
 
1. Ben Pol - Chali (Kenya)
2. Kibakuli - Chali(Kenya)
3.Yesaya - Chali(Rwanda)

Ila kweli kuoa mtu nje ya jamii yako kumatch inakuwa ngumu sana ,imagine AY ni bilionea ,mkewe mzuri why hawajaendana? Inakuwaje ghafla tu mkewe awe na boyfriend mpya na waende paris ,means mkewe alikuwa kicheche.
Stamina nae chali
 
Kwani Masanja alioa wapi?


Siku hizi hakuna penye nafuu. Ndani moto, nje moto. Cha msingi ni kutafuta kitu roho inapenda. Ili siku ndoa ikivunjika, unakua umeshafaidi!
Hatukupenda walivyooa nje
 
Back
Top Bottom