MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
Mbali na tabia ngumu za watusi, ukweli ambao vijana wengi hawataki kuusikia ni kwamba NDOA SIYO RAHISI.Hao watutsi hasa wazaliwa wa Rwanda na nchi zingine mbali na waliozaliwa Tz ni very complex na maisha yao yako structured kama wazungu tuseme kama robot, kwa sisi kibongo bongo ni ngumu sana kuishi nao.
Ndoa huwa inaanza baada ya harusi, tena inahitaji watu wenye nidhamu ya hali ya juu sana ili kufanikiwa.