Msanii AY afunga ndoa na mpenzi wake huko Rwanda

Msanii AY afunga ndoa na mpenzi wake huko Rwanda

Kumbe mpagani, anafuata nyendo za mzee wetu, asisahau mwishoni kuweka mambo sawa ili tusimtenge.
 
Aman iwe nanyi wakuu katika bwana

Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu

Msaniu wa kizaz kipya ambwene yesaya siku ya leo amafunga ndo na mkr wake mnyarwanda na ndo hiyo imefungwa kimila huko nchin rwanda

Mke wa msannii huyo ana master ya enginiaring

Watu hao wamedumu kwenye uchumba kwa muda wa miaka kumi sasa
Ukiweza edit post yako.. Imejaa typing errors
 
Bado natafakari mtu anafungaje ndoa na mke wake......!!!!!

989cf4fadaa0ad04132edbad5f97f4c0.jpg
 
Mtu hafungi ndoa na MKE WAKE! Ndoa ya ngapi hiyo itakuwa?
 
Mnyambala ameniabisha,kwanini asingempeleka mtoto Tukuyu/Kyela kufunga nae ndoa ya kimila?yaani kaenda kufanyia sherehe ukweni..aahaa malafyale
na mengi zaidi ya hilo yatakuja usije sikia kahamia huko kabisa.

akigoma basi awe anakubali safari za hapa na pale za mwanamke kwenda kusalimia ma 'anko' ambao kuihalisia sio ma anko
 
Wanawake wa bongo endeleen kufuga makucha kama jini, endelea kukuza makalio na kusuka mawigi waume zenu bado hawajazaliwa na mtakuja kuolewa na wajukuu zenu

Nywanoko benywe

LONDON BOY
Mmmmmh
 
Wanawake wa bongo endeleen kufuga makucha kama jini, endelea kukuza makalio na kusuka mawigi waume zenu bado hawajazaliwa na mtakuja kuolewa na wajukuu zenu

Nywanoko benywe

LONDON BOY
Mbona umerudi ? Au umerudishwa ada ? Si ulituaga unaenda shule
 
Acha kukandia Dada wa wenzako we mbona umesema Dada yako kaoa kibeni ten na anataka ukipe shikamoo!
 
London boy.
Nywanoko ya nini tena.

Ole jinga sana.

Ba welagi ba nyanda ba mjini,
 
Hv N vigezo gan vnatumika
kwemda kufungia ndoa Kwa mwanamke maana hata mm


Nna mnyarwanda wang Mae
Ananambia hvo kuwa ndo tukafungie
Rwanda ktu amabacho n ndoto kwang
 
Mi mwenyewe nna mpango wa kumuoa mke wangu huko huko Rwanda.
 
Hv N vigezo gan vnatumika
kwemda kufungia ndoa Kwa mwanamke maana hata mm


Nna mnyarwanda wang Mae
Ananambia hvo kuwa ndo tukafungie
Rwanda ktu amabacho n ndoto kwang
Wanyarwanda wanahulka ya kumiliki hasa upande wa mwanamke...mfumo jike upo sana kule
 
Jamaa washamteka huyo...anapangiwa ndoa ifungwe wapi na tena kwa mila za kinyarwanda....ni upuuzi
 
Back
Top Bottom