Msanii AY afunga ndoa na mpenzi wake huko Rwanda

Msanii AY afunga ndoa na mpenzi wake huko Rwanda

Wanyarwanda wanahulka ya kumiliki hasa upande wa mwanamke...mfumo jike upo sana kule
Aiseee hata mm nmeanza kuamin hii
Ktu yan wao badala ya kuolewa
Wanakua ndo wameoa aiseee

Hapana mm kama hata kubali
kufungia ndoa kwang bhas
Arud kwao af wanapenda sana ndo za kimila
 
Huyo ni Mnyarwanda Kagame anazidi kupenyeza mashushu wake Tanzania..
 
Bado natafakari mtu anafungaje ndoa na mke wake......!!!!!

989cf4fadaa0ad04132edbad5f97f4c0.jpg
Anahalalisha, ukiwa umri wako haujafikia huwezi kuyajuwa haya, ila wakati wa kifo watu ambao wanaishi na watoto za watu kama mke na mume na hawajatoa hata mahali ndio utajuwa ni kwa nini watu wanawaowa wake zao hata kama wana watoto tayari.
 
Ndugu Moderator naomba mumsahidie huyu mtoto kuedit hii nyuzi yake, imejaa typing errors na wala hashituki!
Asante.
 
Anahalalisha, ukiwa umri wako haujafikia huwezi kuyajuwa haya, ila wakati wa kifo watu ambao wanaishi na watoto za watu kama mke na mume na hawajatoa hata mahali ndio utajuwa ni kwa nini watu wanawaowa wake zao hata kama wana watoto tayari.

Asante kiongozi kwa elimu hii.....

[emoji106]
 
Wanawake wa bongo endeleen kufuga makucha kama jini, endelea kukuza makalio na kusuka mawigi waume zenu bado hawajazaliwa na mtakuja kuolewa na wajukuu zenu

Nywanoko benywe

LONDON BOY
Waache bwana utatuharibiawala husiwashitue... ohh btw huwa hawaelewagi hata wakipewa seminar na nani masheikh.
 
Asante kiongozi kwa elimu hii.....

[emoji106]
Mke ambaye si halali kwako huna hata haki ya kumzika, msiba unakuwa kwao na wanazika kwao wewe unakwenda kama muombolezaji tu

Hiki ni kipindi cha aibu sana humkuta mwanaume mbele ya rafiki zake ambao mwanzoni walijuwa hawa ni mke na mume halali.

Huo ni mfano mmoja tu kati ya mingi ya kuhalalisha ndoa, mambo mengine ni kama beneficiary wanandoa upande wa makazini na kwenye bima za afya.

Mfano hai mimi natumia zaidi bima ya afya ya kutoka ofisi ya wife kuliko ya kutoka ofisini kwangu, wao ya kwao mpaka Agha khan is accepted.

Kwa uchache hayo ni baadhi ya mambo yanayosababisha watu kuoa wake zao.
 
Back
Top Bottom