Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aiseee hata mm nmeanza kuamin hiiWanyarwanda wanahulka ya kumiliki hasa upande wa mwanamke...mfumo jike upo sana kule
Wanyakyusa ni washamba na huwa wamapelekeshwa na wake zao.Mnyambala ameniabisha,kwanini asingempeleka mtoto Tukuyu/Kyela kufunga nae ndoa ya kimila?yaani kaenda kufanyia sherehe ukweni..aahaa malafyale
mkuu hapo umemalizia kwa lugha ganiWanawake wa bongo endeleen kufuga makucha kama jini, endelea kukuza makalio na kusuka mawigi waume zenu bado hawajazaliwa na mtakuja kuolewa na wajukuu zenu
Nywanoko benywe
LONDON BOY
Unamuaibisha mwalimu kisandu kwa huo mwandiko
[emoji22][emoji22][emoji22]
Wewe ni mtumwa wa wakoloni, ndoa za kimila ndio sahihi na ndio ndoa zetu Waafrika.Kumbe mpagani, anafuata nyendo za mzee wetu, asisahau mwishoni kuweka mambo sawa ili tusimtenge.
Unamuaibisha mwalimu kisandu kwa huo mwandiko
[emoji22][emoji22][emoji22]
Anahalalisha, ukiwa umri wako haujafikia huwezi kuyajuwa haya, ila wakati wa kifo watu ambao wanaishi na watoto za watu kama mke na mume na hawajatoa hata mahali ndio utajuwa ni kwa nini watu wanawaowa wake zao hata kama wana watoto tayari.Bado natafakari mtu anafungaje ndoa na mke wake......!!!!!
![]()
Anahalalisha, ukiwa umri wako haujafikia huwezi kuyajuwa haya, ila wakati wa kifo watu ambao wanaishi na watoto za watu kama mke na mume na hawajatoa hata mahali ndio utajuwa ni kwa nini watu wanawaowa wake zao hata kama wana watoto tayari.
Ndoa zote za kiislamu zinafungiwa ukweni acha kujitoa akili.Hv N vigezo gan vnatumika
kwemda kufungia ndoa Kwa mwanamke maana hata mm
Nna mnyarwanda wang Mae
Ananambia hvo kuwa ndo tukafungie
Rwanda ktu amabacho n ndoto kwang
Heeee kumbe skua najua hloNdoa zote za kiislamu zinafungiwa ukweni acha kujitoa akili.
Ndugu yangu futa kauli hii, unawatusi Waislamu.Us.enge huu.
Mwanaume utafungiaje ndoa ukweni??
Umeoa au umeolewa??
Waache bwana utatuharibiawala husiwashitue... ohh btw huwa hawaelewagi hata wakipewa seminar na nani masheikh.Wanawake wa bongo endeleen kufuga makucha kama jini, endelea kukuza makalio na kusuka mawigi waume zenu bado hawajazaliwa na mtakuja kuolewa na wajukuu zenu
Nywanoko benywe
LONDON BOY
Mke ambaye si halali kwako huna hata haki ya kumzika, msiba unakuwa kwao na wanazika kwao wewe unakwenda kama muombolezaji tuAsante kiongozi kwa elimu hii.....
[emoji106]