Msanii Belle 9 amewakosea nini Watanzania? Kwanini anapuuzwa? Ni wapi anakosea?

Msanii Belle 9 amewakosea nini Watanzania? Kwanini anapuuzwa? Ni wapi anakosea?

Hili nalo limekua kama fashion siku hizi lakini mimi sikubaliani hata kidogo na hii mbinu ya kipuuzi.
Mbinu nzuri kufanya mziki mzuri tu na kujiweka karibu na mashabiki (kwenye social networks).Pia nidhamu kwa hawa walioshikilia soko la muziki hapa bongo.

Mbona Kiba na mavoko wanatoa miziki mizuri tunawakubali? Lini umeona wakitoka na hao macelebrity?
Hao ndio wasanii wa ukweli sasa.

Hapo kwenye jiweka karibu na mashabiki nashindwa jinsi ya kumhukumu maana huwa simuelewi kabisa...mi nafikiri kuna mbinu anatakiwa atumie zaidi ya hii!
 
Mwambie aje nimpekeke mtwara wilaya y newala kunawataalam wazur wa kumbust kama wanavyobustiwa fulan n fulan
 
Hapo kwenye redio utanisamehe tu.Mimi sio msikilizaji mzuri labda itokee tu bahati mbaya.

pengine wanao mpenda wengi hawasikilizi radio na hawana muda wa kuzichagua nyimbo zake.
 
Kama ni swala la kusubiri nafikiri amesha subiri sana.. kuna watu wametoka wanamuacha kila leo! Nuhu mziwanda alitoa wimbo ukapokelewa vyema lakini yeye vipi? Nawapa lawama mashabiki kwakuwa wao ndio wachaguzi wa nyimbo kila leo! labda uniambie tatizo ni nini? lakini kwa swala la kusema aendelee kusubiri ni kumdanganya.

Kama unafanya kazi nzuri itajulikana tu, dhahabu ata uiweke kwenye moto bado itang 'ara tu. Hakuna kitu kibaya na nisichokipenda kama kujifananisha, mbona mtu akifa hamlalamiki mbona flani kafa mimi nipo hai?

Pengine ajichunguze kama ana mawasiliano mazuri na wasanii wenzie na watangazaji wa radio? Mengine amwachie mungu, akazane kuimba tu, maana kuna watu wanatamani kufika hyo level yake anayoiona haimfai ila hawajabahatika kumfikia
 
Mi mwenyewe namkubali ila inafikia kipindi huwa namsahau kabisa coz nyimbo zake siziskii redion always.ajaribu kuchange either management or style ya kupenyeza mziki wake .ni nyimbo kali but kama watu hawazikii mpaka wazitafute nadhani watu watabakia walewale.namtakia mafanikio zaid sokoni

Pengine hapo kwenye manegement hawafanyi kazi na hawajui vizuri biashara ya muziki wa bongo na bila shaka ana hitaji kujisalimisha kwa wanao ijua biashara hii ya muziki!
 
Mwambie aje nimpekeke mtwara wilaya y newala kunawataalam wazur wa kumbust kama wanavyobustiwa fulan n fulan
mmh
Teh Teh anaweza akaambiwa alete kiungo cha albino ...
 
Kama unafanya kazi nzuri itajulikana tu, dhahabu ata uiweke kwenye moto bado itang 'ara tu. Hakuna kitu kibaya na nisichokipenda kama kujifananisha, mbona mtu akifa hamlalamiki mbona flani kafa mimi nipo hai?

Pengine ajichunguze kama ana mawasiliano mazuri na wasanii wenzie na watangazaji wa radio? Mengine amwachie mungu, akazane kuimba tu, maana kuna watu wanatamani kufika hyo level yake anayoiona haimfai ila hawajabahatika kumfikia

Pengine hapo kwenye mawasiliano mazuri na media na watangazaji sina hakika ..
 
Mwl nahisi wewe humuonei huruma kabisa yani kuna siku nilimuona ana hojiwa sehemu nika sikitika sana huwa nahisi kuna kitu labda amewakosea wadau hawataki kumwambia wana muacha tuu!Na unaweza kukuta mtu kama huyu aligombana sana na familia yake kuingia kwenye muziki na pengine hata shule ali drop na akiamini muziki utamtoa lakini mambo yamekuwa kinyume na huko wana mwambia tulikwambie wewe hukusikia...its too late..! Au atumie style ya kick au scandal atatoka?
labda ajaribu kufanya collabo na baba kijacho
 
Atafute ka skendo, hii tuu ndio dawa ya watz, mfano saa hivi Gwaijima atoe single itahit kinyama hata iwe mbovu kiasi gani.
 
Mkuu chige pamoja na hayo uliyo yaeleza pengine kuna kitu nimenotice kuhusu maelezo yako na ambacho nime kisahau kukiuliza ni kuhusu juhudi zake binafsi kupush mziki wake ikiwa na kujiweka karibu na mashabiki wake...na katika hilo nashindwa ni muhukumu vipi maana muziki wa sasa nabado napata shaka kuhusu ukaribu wake na media pamoja na wadau wa muziki!
Na kuhusu management yake bado napata mashaka na ufanisi wake na pengine ninge mshauri atazame upya..
Ukichambua hii weakness uliyoiweka hapa bado tatizo kwa kiasi kikubwa litakuwa linarudi kule kule kwenye management coz' ingawaje ni kweli kwamba msanii mwenyewe ana nafasi kubwa ya kujiweka karibu na mashabiki lakini management pia inatakiwa kuwa facilitator. Kwa mfano, ni social networks ndizo zinatumika kama daraja kati ya msanii na mashabiki... hapa, kibongo bongo, msanii mwenyewe ana nafasi kubwa katika kulitekeleza hilo kwa ufanisi! Kwa upande mwingine, linapokuja suala la interactions kati ya msanii na medias, hapa management ilitakiwa kuhakikisha hilo linafanikiwa!
 
Naona kuna tatizo kubwa kwa management ya Bell 9
 
Au amnyan'ganye kabisa Zari, hahahaa hapo hata Masogange itaanza kupigwa kwa upya kabisa na kwenye top ten itakuwepo, chezea skendo ww.

Teh Teh na yeye ataundiwa timu kabisa..
 
Nakubaliana na wewe, belle 9 ana kipaji kizuri sana, kuna kipindi uko nyuma aliwahi kupambanishwa na diamond, ni msanii mzuri ana sauti nzuri na anajielewa.

Anachotakiwa kufanya ni kuvumilia tu, ukifika wakati wake atatusua, japokuwa inakatisha tamaa sana, maana kama kuimba kashaimba sana.

Unapotoa lawama kwa mashabiki kuwa hapokelewi vizur unakosea, kwani wimbo wake wa masogange ulifanya vzur sana na kumuweka apo alipo sasa ivi

nimekupa like
 
Back
Top Bottom