Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
- Thread starter
- #41
Hili nalo limekua kama fashion siku hizi lakini mimi sikubaliani hata kidogo na hii mbinu ya kipuuzi.
Mbinu nzuri kufanya mziki mzuri tu na kujiweka karibu na mashabiki (kwenye social networks).Pia nidhamu kwa hawa walioshikilia soko la muziki hapa bongo.
Mbona Kiba na mavoko wanatoa miziki mizuri tunawakubali? Lini umeona wakitoka na hao macelebrity?
Hao ndio wasanii wa ukweli sasa.
Hapo kwenye jiweka karibu na mashabiki nashindwa jinsi ya kumhukumu maana huwa simuelewi kabisa...mi nafikiri kuna mbinu anatakiwa atumie zaidi ya hii!