Msanii Chid Benz akamatwa tena na dawa za kulevya

''Jela,kifo au taasisi ndiyo mwisho wa uteja''
R.I.P Langa Kileo
 
''Jela,kifo au taasisi ndiyo mwisho wa uteja''
R.I.P Langa Kileo

Kwanza ni kweli CHIDI yuko MSIMBAZI nimemkuta mimi saa 9 mchana nikiwa na shughuli zangu binafsi ila sikujua alikuwa na kosa gani.

Na hongera kwa polisi wetu nilikuwa pale mpaka wakati wanapewa chakula kiukweli polisi wa pale wameonesha kuwajali kwa mimi nilivyoona,

Hayo uliyosema ndugu sio kweli,
Kuna baadhi ya mateja wameacha kabisa na maisha yao yamekuwa bora kabisa bila hata kupitia TAASISI.

Huu ni mtihani mkubwa sana pamoja na jitihada zote tunazotakiwa kufanya kupambana tatizo hili pia tujitahidi kuwa tunafanya na MAOMBI kwa MWENYEZI.
 
Sheria zikoje?

Au labda Mimi ushamba bado unanisumbua!

Nijuavyo Mimi ni kwamba, huwezi kukaa Kituo cha Polisi zaidi ya masaa Ishirini na Manne (24).

Ni kwamba mpaka Masaa Ishirini na Manne (24) yakishapita bila wewe kufunguliwa Mashitaka, basi hapo hamna Kesi tena.

Kinachotakiwa ni kwamba ndani ya Masaa Ishirini na Manne (24) uwe umeshapandishwa Mahakamani, na kama kuna Upelelezi wowote unatakiwa uwekwe Mahabusu huku ukiwa tayari umeshapanda Mahakamani.

Sasa hii ya kuwekana Kituoni Siku tatu na Mtu bado hajapandishwa Mahakamani imekaaje?
 
Sembe haijawahi kumwacha mtu salama
 
H

Haya ndio matokeo ya Kuweka sheria nyepesi nyepesi dhidi ya wauzaji na watumiaji wa dawa za kulevya eti Faini 900,000 au kifungo cha miaka miwili mmmh huu ni utani tu na motisha kwa watu wanaoifanya biashara hii ya mamilion ya pesa. CHINA wana adhabu nzuri tu wao hawana mchezo wakikudaka tu ujue lazima ugongwe chuma tu.
 
Hawa serikali ndo inawalea sana, au kwakuwa wengi walizungunga na mgombea urais wa chama tawala 2015? Walipaswa kuwa gerezani hawa. Mi nashangaa serikali inahangaika kuwapeleka kwenye rehab...... Weka Segerea tu huyu!!!
 
Aende jela, maana anajifanya kachanganyikiwa
 
Sasahivi ni jela tu!! Hakuna kulipa fine wala nn maana ameshindwa kuwa kioo cha jamii
 
Huyo angenyongwa tu mchezo uishe
 
Pole yake.sielewi kwa nini kuacha hii kitu ni ngumu.wengi hurudia kutumia.
Ubongo na mfumo wa fahamu unakuwa ushaathirika, inakuwa ni addictive...

Btw habari za masiku, upo kisugar?
 
Yule rais Wa nchi sijui ya Peru ambaye anawaua watumiaji Na wauzaji Wa madawa ya kulevya,yupo sahihi kabisa!

DJ sepetu
 
Aisee jitahidi zaidi zinahitajika kwa kweli...kwa vile kuacha na kurudia hii kitu kwa wengi wanachemka...ingekua poa sana aidha serikali au hata NGO wajenge Rehab center ya nguvu kwa hawa wanaorudia wawekwe huko mpaka uchu wa kutumia hizi dawa uishe...hii ya kuwaacha kujichukulia dawa Mwananyamala na kwingineko alafu wanarudi mtaani ni ishu sana..
 
Uyu jamaa awez kuacha iyo kitu, wangemruhusu tu atumie,.. Akifa shauri yake,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…