TANZIA Msanii Costa Titch afariki dunia baada ya kudondoka stejini

Bado muda na nafasi unayo, endelea kutafuta na kuseti channel t blj
 
Too hot like like heater[emoji22]


Ile moment unafuta namba ya mtu aliyefariki daah!! So damn sad
 
Mkuu yote uliyoandika hapa ni kwa akili zako za kibinaadamu kifo kikija kwa mtu yote haya utayajua ameshapoa.

Mwaka fulani nikiishi Tandika,kuna jamaa tulikuwa tunakaa nae maskani jioni baada ya kutoka kwenye mihangaiko ilikuwa usiku wa saa mbili,alinyongwa na kamba ile ya kuvutia gari tena kwenye barabara ya vumbi ya mtaani ile Canter haikuwa hata speed 20 ila sisi jamaa baada ya kujipiga ngwala kwenye kamba iliyokuwa kati ya gari na gari tukagawanyika makundi mawili hawa kwa gari inayovuta kumwambia asimame wengine kwenye gari inayovutwa kumwambia driver asimame asimkanyage zoezi lilipokamilika kwenda alipo mtu tunamkuta anagohoa ile ya mwisho kamba imemkaza haielezeki.

Tukaanza kulaumiana kwanini wengine hatukwenda alipokuwa marehemu?mwisho wa siku ktk maisha kuna situations zipo nje ya uwezo wetu muumba akishaamua na jamaa alikuwa anavuka upande wa pili kuchukua sigara tu na upande tulikuwa tumekaa duka lipo but just kule ng'ambo aliacha change yake 300 hakurudi tulipokuwa tumekaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…