TANZIA Msanii Costa Titch afariki dunia baada ya kudondoka stejini

TANZIA Msanii Costa Titch afariki dunia baada ya kudondoka stejini

Dah!! Vitu vingine mnaandika sijui mnakua bangeee!!
He is talking the naked truth, shida inakuja kuwa nyie ma intellectuals hamuamini kama smart guys wanaweza toka kwenye low class , unaona hapo umesha mu asocciate na bangi, wala hujataka kuuliza his side of the story, unahitimisha tu!!⁸

"We've got to be honest by the tools we use to survive "- 2pac, hii prase ukiifuatilia ndo utajua kwa nini diamond mtoto wa Tandale ame wa outsmart wasanii ambao walikuwa wanajiona ni intellectuals kwenye game.
 
Ile ilikuwa ni spiritual meaning alipofanya last super yaani karamu yake ya mwisho baada ya kula akawaagi marafiki zake alikuwa akiwaaga kabla ajapigwa risasi...
Hivi mpaka leo hakuna aloshukiwa hata mmoja?
 
Hakuna namna 2pac alikuwa smart kuliko Martin Luther king Jr au Malcom x. Hilo halikuwahi kutokea.

😀😀😀.
Mkuu , tunaamini binadamu anapata akili ya maamuzi kamili akiwa na miaka 18.

Martin luther aliishi miaka 39 , maana yake ni kuwa toka ukubwa (18 years ) martin alipata luxury ya 21 years akielezea philosophy zilzopo kichwan mwake, 2pac alipata miaka 8 tu toka ukubwa na hadi leo baadhi ya maono yake yapo.

Sikiliza hizi nyimbo
1.The good die young, hii ndo mwanzisha mada anastrugle kulielezea.

2. Brenda has got a baby, hapa utadhani 2pac alikaa uswahilini kushuhudia mimba za kina mwajuma huku akina baba wakikataa kubeba majukumu.
 
Hivi mpaka leo hakuna aloshukiwa hata mmoja?
Yule mwanamke aliyekaa meza ya chini hotelini akila alivaa kofia ya pama nyeupe alivaa t-shirt na suruari nyeupe ndie aliyempiga risasi AKA,ndie yule aliyekimbia,hata nje pana mtu alikuwa kwenye mission moja akijua thus alikuwa akirandaranda amalizi mizunguko yake nje wakati AKA anawaaga wenzake.
 
Kama definition ya "smart" kwenu ni u-gang star sawa.
Ganster is a way of life,
Pendelea sana kuangalia contents zilizopo kwe ye kichwa na sio apperarance, ita ku miss lead vibaya mno
Jf kennedy alikuwa mlevi , womaniser na kuna taarifa pia alikuwa anatumia narcotics , lakini ndio mtu aliyewapeleka waamerika mwezini,
 
Yule mwanamke aliyekaa meza ya chini hotelini akila alivaa kofia ya pama nyeupe alivaa t-shirt na suruari nyeupe ndie aliyempiga risasi AKA,ndie yule aliyekimbia,hata nje pana mtu alikuwa kwenye mission moja akijua thus alikuwa akirandaranda amalizi mizunguko yake nje wakati AKA anawaaga wenzake.
Nimeangalia hata sijaona nimeona mwanamke wa kizungu hajavaa kofia
Kwa hiyo hajakamatwa mpaka sasa
 
#TANZIA: Vyombo vya Habari nchini Afrika Kusini vimeripoti kutokea kwa kifo cha Rapa Costa Tsobanoglou maarufu kama Costa Titch, usiku wa kuamkia leo Machi 12, 2023, baada ya msanii huyo kudondoka akiwa jukwaani, alipokuwa akitumbuiza kwenye tamasha la Ultra Music Concert katika ukumbi wa Expo Centre uliopo Jijini Johannesburg nchini humo huku ikidaiwa kuwa Rapa huyo alikuwa akisumbuliwa na kifafa.

#ITVUpdates
 
Back
Top Bottom