othuman dan fodio
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 6,850
- 11,033
Nilikuwa namkubali huyu dogo na vimiguu vyake vyenye matege akilisakata amapiano kwa ustadi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nafurahi kuona umeishiwa hoja na umehamia kwenye matusi ambako unapaweza sio huku pia kutumia akili kufanya reasoning ilhali huna hiyo akiliHaya fungasha wowowo, nyuma geuka tembeaaaa.
Wewe Unalazimisha mawazo yako watu wayaamini , vyote vinawezekana Kwanza huwez tenganisha uchawi , freemason na mziki huwezi , kama Unabisha Anza kuimba Leo upate hitsong uone , hata ulilosema heart attack pia inawezekana , lakn lazima tureview health record yake kama alikuwa na hyo shida , 27 years too youngWaafrika kwa kuamini mikono ya watu na kushikana ulozi hatujambo! Huyo jamaa namna alivyoanguka na uzito wake it’s obviously a heart attack sasa wew unaanza kuleta stories zako za mikono ya watu. Empty mind. Nimekudharau
Walitaka wakufungulie kanisa uhudumu chini yao na mapato mgawane? Walijua kwa u smart wako ungevuta waumini wengi?!Mama mchungaji sio tapeli nilikuja kujua baadae kua yule dada ni mtoto wa mchungaji fulani, baada ya hio siku moja katika pitapita zangu akanitambulisha kwa mama yake Ila Mimi niligoma kua pastor wa mchongo ingawa Bible knowledge imelala kichwani,
Uchawi ni mambo ya kufikirika yasiyo na ushahidi. Mtu mwenye akili hawezi kujikita huko sijui kwenye freemasonry, uchawi na mengineyo. Mtu anayetoa hoja zake kwa kubase kwenye mambo hayo ana reasoning ndogo sana! Kiufupi ana akili kiduchu sana km weweWewe Unalazimisha mawazo yako watu wayaamini , vyote vinawezekana Kwanza huwez tenganisha uchawi , freemason na mziki huwezi , kama Unabisha Anza kuimba Leo upate hitsong uone , hata ulilosema heart attack pia inawezekana , lakn lazima tureview health record yake kama alikuwa na hyo shida , 27 years too young
Soma umuelewe vizuri.!Vizuri,asa hapo hukugoma ww bado roho wa Mungu hajaka kwako bado ana mashaka na ww,japokuwa mistari ya Bible unaitahamu.Siku akiona unafaa atakuongoza na hamna utakachopinga.Usisahau kunitag siku ukiwa mtumishi [emoji38][emoji38]
Matusi ninayo na hoja ninazo pia. Tunakwenda sambamba kazi na dawa.Nafurahi kuona umeishiwa hoja na umehamia kwenye matusi ambako unapaweza sio huku pia kutumia akili kufanya reasoning ilhali huna hiyo akili
Ni huruma kwakweli,Mungu atupe mwisho mwemaHuzuni kweli, wapo wale wanafia guest uzinzini
Hoja huna zaidi ya conspiracy theories! Mtu mwenye akili hawezi kuja na hoja za kufikirika na kushikana uchawi km wewe. Anyways vipi hujawakanda kichwani watoto wako katika juhudi za kupunguza komwe usijue unakanda ubongo wa mbele na kuukandamiza ?Matusi ninayo na hoja ninazo pia. Tunakwenda sambamba kazi na dawa.
Ukileta MBAMBAMBA na UMAAMUMA nakuchapa tu mikwaju simultaneously.
Kwako DOKTA TAMBI TAMBI.
Nimemuelewa,na yeye kaelewa ndiomaana aliendelea kunipa ushuuda.Soma umuelewe vizuri.!
nakubusu mmwaaaa😘😘Nimemuelewa,na yeye kaelewa ndiomaana aliendelea kunipa ushuuda.
Shetani huwa anawawahi mapema kabla ya kutubu Ili asiwakoseVijana wanaondoka wadogo sana wengine fame ndiyo chanzo, sasa sijajua kama alitubu alivyo mpigia debe shetwan akiwa na mbossonyo au ndiyo shettwaa atakuwa mwenyeji wake kwenye makao mapya.
🤗nakubusu mmwaaaa😘😘
Inatosha bichwa komwee, umepiga spana[emoji38]Huna hata DEATH REPORT kutoka kwa QUALIFIED MEDICAL EXPERT lakini umeshahitimisha kafa kwa HEART ATTACK!!
Na kwa jinsi nyie mlivyo MAGOIGOII na MAZEZETA, ni rahisi sana mtu kufanyiwa jambo baya lakini pakawepo watu wa kusema ni HEART ATTACK.
Kuna wale MATAPELI wakatuambia MAGUFULI sijui HANA BETRII... UPUMBAFU!!
Tukiwa na taifa lenye MAHOVYOHOVYO WENGI huwezi kujua hata ukweli ni upi.
Kukariri kariri tu, ati CARDIAC ARREST [emoji50][emoji50]
Ukiambiwa madai jichunguze. Siyo unaleta tena ubishi ubishiMkuu BICHWA KOMWEE possibly ubongo wako wa mbele umejaa hewa au walijaribu kukukanda kupunguza komwe wasijue wanagandamiza na kuharibu ubongo wako wa mbele unaotumika kufikiria na matatizo yake ndio haya sasa tunayaona leo! Poor reasoning na kufikiri kwa chuki na kupenda ulozi
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] bichwa komwee kumbe ni mkorofi hiviHaya fungasha wowowo, nyuma geuka tembeaaaa.
nije🤔
Na wakati huo shetani anawawahi Mungu anakuwa wapi? Au unatak kusemaje?Shetani huwa anawawahi mapema kabla ya kutubu Ili asiwakose