TANZIA Msanii Costa Titch afariki dunia baada ya kudondoka stejini

TANZIA Msanii Costa Titch afariki dunia baada ya kudondoka stejini

Ukiambiwa madai jichunguze. Siyo unaleta tena ubishi ubishi
Hao ndio aina ya MADOKTA TAMBI TAMBI / MAUCHWARA yanayodunga watu machanjo ya ajabu bila kufanya CLINICAL DUE DILIGENCE.

Akishamezeshwa VITINI na NOTES za MEDICAL SCHOOL anakuwa kama LIKASUKU, haambiliki wala habadiliki. Anakuwa MSAHAFU UNAOTEMBEA.

MATAMBI TAMBI / MAUCHWARA
 
Kundi lake wengi wameshafariki akiwemo AKA ni mzunguko wao mmoja wote waliojiconnect.
Sote tunakufa hakuna atakaeishi milele
 
Inatosha bichwa komwee, umepiga spana[emoji38]
Wacha nimshughulikie huyu DOKTA UCHWARA anayeganga njaa kwa kupiga porojo kama mganga wa kienyeji.

Hana DEATH REPORT wala hana taarifa yoyote rasmi lakini kashadandia habari juu kwa juu.

Nina usongo sana na hawa VISHOKA wanaopenda kujipachika UDOKTA WA KUBUMBA. Nina uchu nao kweli kweli.

Tena nikikutana nae huyu namtandika MAKOFI mbele ya baba zake!
 
View attachment 2546922

Taarifa zilizothibitishwa zimeripoti kuwa msanii Costa Tich amefariki dunia.

Msanii huyo alikuwa akifanya onyesho stejini, ndipo alipo anguka ghafla na kukumbwa na umauti.:[emoji117]

[emoji117] Taarifa za kina zaidi, kuhusiana na chanzo Cha kifo bado hazijajulikana. Zaidi ya kusemekana ni ajali tu.

Miongoni mwa kazi zake zilizo vuma ni goat, super star, Mr big flexa, ma gang na nyinginezo.

Mwenyezi MUNGU, aipumzishe roho ya marehemu, mahali pema[emoji120][emoji120].

View attachment 2546885

View attachment 2546923
Dahh, mwana alidondoka mara ya 1 akainuka, mara ya 2 naona ndo ikawa 1 kwa 1, R.I.P CostaT
 
Wacha nimshughulikie huyu DOKTA UCHWARA anayeganga njaa kwa kupiga porojo kama mganga wa kienyeji.

Hana DEATH REPORT wala hana taarifa yoyote rasmi lakini kashadandia habari juu kwa juu...
Matatizo ya kukandwa kichwa ukiwa mdogo ndio haya tunayaona leo. Waelimishe na wenzio kuwa ukimkanda kichwa komwe mtoto unakandamiza ubongo wa mbele na matatizo yake ndio unakuwa zezeta ukubwani km wewe
 
Back
Top Bottom