TANZIA Msanii Costa Titch afariki dunia baada ya kudondoka stejini

TANZIA Msanii Costa Titch afariki dunia baada ya kudondoka stejini

"popote mlipo yatakufikeni mauti ijapokuwa mtakuwa katika ngome zilizo madhubuti...."
Qur'an 4:78

Eeh itakuwaje unarudi kwa muumba wako una nywele za kijani mchanganyiko pink, umejichora tatoo mwili mzima, umefikwa na umauti stejini ukifanya show isiyoeleweka hata inahusu nini, hivi ndugu zangu namna hii ndio mwisho wa mwanadamu unapaswa kuwa?.

إنا لله وإنا إليه راجعون
Mambo ya hukumu aachiwe anayehukumu. Tunapenda sana kumpachika muumba picha ya kutisha. Jitu flani hivi liuaji. Wewe umeumbwa kwa mfano wa MUNGU, ukipewa kazi ya kumuhukumu huyo kijana ungemchoma moto sababu alifia stajini na nywele zina rangi?
 
Mimi sio hakimu, isipokuwa kuna viashiria vya kufa vibaya hapo nadhani hata wewe unaelewa ila unataka tu ubishani.
 
Hovyo sana 😂
 
Mimi sio hakimu, isipokuwa kuna viashiria vya kufa vibaya hapo nadhani hata wewe unaelewa ila unataka tu ubishani.
Ndo nakuuliza sisi si tumeumbwa kwa mfano wa MUNGU na ni watoto wake? Mwanao akirudi kwako akiwa mchafu unamchoma moto sababu hutaki uchafu?

Haipendezi kabisa MUNGU ambaye tunasema ni UPENDO kupachikwa picha ya ukatili wa kiwango hicho.
 
Hiyo HEART ATTACK uliipima au unajipachika UDOKTA TAMBI TAMBI tu hapa?
Hiyo sumu unayosema au freemasonry una ushahidi wowote zaidi ya kuwa empty mind? Kwa taarifa yako ischaemic heart disease zinaua sana vijana na huwa vifo vyake vinatokea ghafla na dalili zake ni mtu kukosa hewa na kuanguka km ilivyotokea kwa jamaa
 
Vijana wanaondoka wadogo sana wengine fame ndiyo chanzo, sasa sijajua kama alitubu alivyo mpigia debe shetwan akiwa na mbossonyo au ndiyo shettwaa atakuwa mwenyeji wake kwenye makao mapya.
Usihukumu maana mwenye dhamana hiyo ni Mungu mwenyewe! Huoni unakufuru kwa kuingilia majukumu yasiyo yako
 
Hiyo sumu unayosema au freemasonry una ushahidi wowote zaidi ya kuwa empty mind? Kwa taarifa yako ischaemic heart disease zinaua sana vijana na huwa vifo vyake vinatokea ghafla na dalili zake ni mtu kukosa hewa na kuanguka km ilivyotokea kwa jamaa
Huna hata DEATH REPORT kutoka kwa QUALIFIED MEDICAL EXPERT lakini umeshahitimisha kafa kwa HEART ATTACK!!

Na kwa jinsi nyie mlivyo MAGOIGOII na MAZEZETA, ni rahisi sana mtu kufanyiwa jambo baya lakini pakawepo watu wa kusema ni HEART ATTACK.

Kuna wale MATAPELI wakatuambia MAGUFULI sijui HANA BETRII... UPUMBAFU!!

Tukiwa na taifa lenye MAHOVYOHOVYO WENGI huwezi kujua hata ukweli ni upi.

Kukariri kariri tu, ati CARDIAC ARREST 😮😮
 
Nimemfahamu jana YouTube kupitia collabo ya Mario. Kuna muda huwa nakaa natazama video zilizotrend ndani ya miezi ya karibuni
 
Pombe, Madawa, Magonjwa

Alikuwa na kifafa sasa na hizo taa za club sijui wapi hapo na hizo kelele lakin alikuwa anafanya anachopenda amekufa anafanya kitu anachopenda
Vifo vingekuwa kwa wazee tu na sio vijana
 
Huna hata DEATH REPORT kutoka kwa QUALIFIED MEDICAL EXPERT lakini umeshahitimisha kafa kwa HEART ATTACK!!

Na kwa jinsi nyie mlivyo MAGOIGOII na MAZEZETA, n rahisi sana mtu kufanyiwa jambo baya lakini pakawepo watu wa kusema ni HEART ATTACK.

Kuna wale MATAPELI wakatuambia MAGUFULI sijui HANA BETRII... UPUMBAFU!!

Tukiwa na taifa lenye MAHOVYOHOVYO wengi huwezi kujua hata ukweli ni upi.

Kukariri kariri tu, ati CARDIAC ARREST 😮😮
Mkuu BICHWA KOMWEE possibly ubongo wako wa mbele umejaa hewa au walijaribu kukukanda kupunguza komwe wasijue wanagandamiza na kuharibu ubongo wako wa mbele unaotumika kufikiria na matatizo yake ndio haya sasa tunayaona leo! Poor reasoning na kufikiri kwa chuki na kupenda ulozi
 
Haya fungasha wowowo, nyuma geuka tembeaaaa.
 
Kama alichanjwa UVIKO kuna uwezekano mkubwa ikawa sababu.

Ulaya na Marekani wanaoanguka ghafla na kuaga dunia wamechanjwa.

Apumzike kwa amani. 🙏
Hebu tuletee takwimu wew kichw@maji. Ulaya magonjwa ya moyo ndio leading cause of death kwahiyo watu kuanguka na kufa ni kitu common kabla hata ya hiyo chanjo. Kweli kuna watu wajinga sn duniani, Waafrika tukiwa tunaongoza
 
Back
Top Bottom