TANZIA Msanii Costa Titch afariki dunia baada ya kudondoka stejini

TANZIA Msanii Costa Titch afariki dunia baada ya kudondoka stejini

Mkuu unatutisha ujue maana kuna maisha baada ya kifo
Mkuu japo huwa unatutukana sisi ila sisi tunaishi kwa tahadhari kubwa tunahofia maisha baada ya kufa, ila nakupatia formula moja nitaandika kiarabu kisha nitakupatia tafsiri kwa faida ya wanajukwaa.

من عاش على شيء مات عليه

mtu yeyote mwenye kuishi juu ya kitu fulani hufa juu yake.

Huyo aliyaandaa maisha yake kama hivyo sasa amekufa akiwa anayaishi hayohayo, sasa sijui ataenda kupokelewa vipi maana leo ni mgeni wa muumba wake, allahul mustaan.
 
Usisahau ameanguka toka juu ya stage mpaka chini, juu Pana urefu sio km alivyoanguka Papa Wemba si umeona jamaa wanadumbukia chini kwenda kumuokota

Alafu ukiangalia kwa makini unaona km kuna mtu alikua anampiga hadi akaanguka pale jukwaani (Ila haonekani) mazingaombwe, mwisho kule kwenye mimoshi kamsuka adondoke chini ya stage
"Na laiti ungeliwaona malaika wakati wanawafisha wale waliokufuru wakiwapiga nyuso zao na migongo yao {wakiwaambia} na ionjeni adhabu ya moto!"

Qur'an 8:50
 
Hiyo sababu tu... Maana Kifo hakikosi sababu.. ila illuminati wamefanya yao...

Msikasirike mandugu... Nawaza tu
Madokta wa JF wanatuambia ati ni Cardiac Arrest!!

Na ukitupia jicho vizurii unagundua hawa madokta uchwara wanaojitutumua humu wamepiga kambi kwenye ule UZI wa TUNDA LA KIMASKHARA wanatoa shuhuda jinsi walivyowabaka wagonjwa.

Unaona kabisa hata dokta mwenyewe ni PUNGUANI hana MORAL AUTHORITY au MEDICAL CAPACITY ya kutoa EXPERT OPINION yoyote.
 
Naamini Martin Luther king , hakuwa smart kama 2pac , ni vile tu pac alizaliwa na kuishi ghetto
Martin Luther alifeli sababu alishindwa kuwaunganisha wamarekani weusi wote.Hana tofauti na malcom x wote walfeli.Lakini pac na notorious walikua smart guys sema tu walizaliwa kwenye hoods za watu wa kawaida kimapato
Hakuna namna 2pac alikuwa smart kuliko Martin Luther king Jr au Malcom x. Hilo halikuwahi kutokea.
Dah!! Vitu vingine mnaandika sijui mnakua bangeee!!
😀😀😀.
 
"popote mlipo yatakufikeni mauti ijapokuwa mtakuwa katika ngome zilizo madhubuti...."
Qur'an 4:78

Eeh itakuwaje unarudi kwa muumba wako una nywele za kijani mchanganyiko pink, umejichora tatoo mwili mzima, umefikwa na umauti stejini ukifanya show isiyoeleweka hata inahusu nini, hivi ndugu zangu namna hii ndio mwisho wa mwanadamu unapaswa kuwa?.

إنا لله وإنا إليه راجعون
Ukifa umelewa, unafika kwa Mola ukiwa unayumbayumba!?
 
Back
Top Bottom