TANZIA Msanii Costa Titch afariki dunia baada ya kudondoka stejini

TANZIA Msanii Costa Titch afariki dunia baada ya kudondoka stejini

Taarifa fupi kuhusu maisha ya costa tich. 👉
👉Majina yake halisi ni : Costa tsobanoglou. a.k.a Costa tich.
👉Mahali alipozaliwa ni : nelpsruit, ndani nchi ya afrika kusini.
👉Mwaka wa kuzaliwa ni: 1995- tarehe ya kifo ni siku ya jumapili 12/03/2023.
Rest in peace Costa, there is a heaven for a nigga
FB_IMG_16785760118932446.jpg
 
World is nothing
Taarifa zilizo thibitishwa zimeripoti kuwa msanii Costa Tich amefariki dunia.

Msanii huyo alikuwa akifanya onyesho stejini, ndipo alipo anguka ghafla na kukumbwa na umauti.:👉
👉 Taarifa za kina zaidi, kuhusiana na chanzo Cha kifo bado hazijajulikana. Zaidi ya kusemekana ni ajali tu.

Miongoni mwa kazi zake zilizo vuma ni goat, super star, Mr big flexa, ma gang na nyinginezo.

Mwenyezi MUNGU, aipumzishe roho ya marehemu, mahali pema🙏🙏.

View attachment 2546866
 
Back
Top Bottom