Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
Au overdose ya molly mdau??????Maana mwana alikua anatumia vile vitu.Sababu madogo sauzi umarekani mwingi sana.Taarifa fupi kuhusu maisha ya costa tich. 👉
👉Majina yake halisi ni : Costa tsobanoglou. a.k.a Costa tich.
👉Mahali alipozaliwa ni : nelpsruit, ndani nchi ya afrika kusini.
👉Mwaka wa kuzaliwa ni: 1995- tarehe ya kifo ni siku ya jumapili 12/03/2023.
Rest in peace Costa, there is a heaven for a niggaView attachment 2546884