TANZIA Msanii Costa Titch afariki dunia baada ya kudondoka stejini

TANZIA Msanii Costa Titch afariki dunia baada ya kudondoka stejini

Uliambiwa nyimbo za kidunia ni za Mungu?,au mnapenda kubishana bila sababu za msingi?,amefariki kwenye stej anaimba mambo ya duniani,hapo watu wamevaa uchi 99,%,walevi wa pombe sigara humo,wanao zini,kubambiana humo yaani kila aina ya uchafu huwa inapatikana humo,afu unabisha nn Sasa?
Sijawahi kuona comment ya hovyo kama hii. Ni watu wangapi wamefariki wakifanya hiyo kazi yenu manyoiita ya Mungu unamjua TB JOSHUA? any Way wewe ni zero

Wazungu wamewaweza sana nyie wameletea dini kuwabrainwash na mmefanikiwa kuwa mazezeta kwa 100%
 
"popote mlipo yatakufikeni mauti ijapokuwa mtakuwa katika ngome zilizo madhubuti...."
Qur'an 4:78

Eeh itakuwaje unarudi kwa muumba wako una nywele za kijani mchanganyiko pink, umejichora tatoo mwili mzima, umefikwa na umauti stejini ukifanya show isiyoeleweka hata inahusu nini, hivi ndugu zangu namna hii ndio mwisho wa mwanadamu unapaswa kuwa?.

إنا لله وإنا إليه راجعون
mtakufa na vile mlivokua mkivipenda, kwa maana ulipenda music ni hivo, ulipenda sana zinaa ni hivo, ulipenda ibada ni hivo,
 
Back
Top Bottom