Msanii Country Boy Rasmi Ameachana Na Recording Label Ya Kondegang


Si ajabu naye akaja na lebo yake ๐Ÿ˜ฒ๐Ÿ˜‚
 
Bado

Baby.

Hizi ngoma kazitoa akiwa konde gang na ni kali sana pia.

Baby

hautoki kwenye playlist yangu, Far pia ni kali japo sehemu aliyoimba harmo sikuikubali sana

Wizzy yupo vizuri sema genre anayoimba haipo kwenye market sana ila kama akijipanga fresh. Bado naona uwezo upo
 
Waondoke wote abaki mwenyewe na skales maana ni hasara tu anapata


Ivi davido na wizkid burna wana lebo kweli
 
Waondoke wote abaki mwenyewe na skales maana ni hasara tu anapata


Ivi davido na wizkid burna wana lebo kweli
Davido ana label Davido Music Worldwide (DMW) na Wizkid yake inaitwa Starboy, Burna hana label.
 
Killy hana nyota ila msanii mzuri. Hata kabla ya kujiunga kings ana wimbo flani video ilitengenezwa an nisher mkali lakini haukuwika
Killy anafanya vizuri sana. Ngoma zake hata sasa ni kali sana, ila tu kwasababu bado ana ngoma chache.

Killy na Anjella wako vizuri kama wakipewa muda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ