Msanii Diamond Platnumz kulipa kodi ya nyumba ya miezi 3 kwa familia 500 za hali ya chini

Sio kitu cha ajabu, ashazoeleka kutoa misaada, ila hii ni kubwa kuliko.
Huu ninahisi utakuwa msaada mdogo kati ya misaada aliyowahi kutoa ukikokotoa hapo atakaowalipia kod utakuta ni walevyumba vyao vina range 30000 mpaka 50000 kwa mwezi which means kwa mieiz mitatu ni kama lak unusu sa kwa familia 500 itakuwa kama milion 70.
Ninavyojua ashawahi kutoa misaada ya pesa nyiingi zaidi ya hili kipindi kile kwao tandale alipotoa hata pikipiki na mitaji
 
mkuu umekosea kuwataka na wengine wafanye alichofanya mond, nina uhakika Moo kupitia foundation yake ametoa misaada mingi kwenye jamii tayari
Nimekosea nini kaka??mo ni public figure kama anatoa msaada tungejua tu mkuu na ni muhimu kuwela open ili kuwa inspire na wengine!matajiri wanapata kingi inapobidi wanapaswa kutudisha kwa jamii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii Misaada ya Diamond ni ya Kiganga akitoa misaada ni lazima atangazie uma
 
Ali Kiba atapiga show bure kwa kaya 2000 kwa miezi 6

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…