Msanii Diamond Platnumz kulipa kodi ya nyumba ya miezi 3 kwa familia 500 za hali ya chini

Nmetoka nje now
Kununua sukari ,pia nlikuaga nnashida na iriki na tangawizi
Dah imeisha 4000

Sent using Jamii Forums mobile app
dah, unapigia hesabu buku 4, huku jamaa anapigia hesabu mamilioni kadhaa...

Familia 500 , kama kila familia kiwango cha chini ni elfu 50,000/ kwa mwezi

kwa hio 50,000 zidisha kwa miezi 3 ni 150,000/-

Laki na nusu kwa watu 500

150,000 × 500 = 75,000,000/-

Kama atashuka chini zaidi,

kwahio 25,000/- kwa mwezi

kwahio 25,000 × 3 = 75,000/- × 500= 37,500,000/-hii pesa kwa dogo ni ndogo sana tena sanaaa..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo pesa Diamond hana na hata huyo Alikiba hiyo hana. Ni mbwembwe tu. Hawana maisha mazuri. Mi nilichoka nilipoambiwa Jay Dee ni bonge la tajiri afu kumbe ni fala tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pumbavu kalipie na wewe hata kaya tatu tuone..hata kama kijana atalipa jumala ya laki moja kwa kaya zote..bado atakuwa kajitahidi.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tusaidie data basi za kuonyesha jama kweli hana kitu,manake inawezekana yakawa maneno lakini Data au Documents zakuprove jamaa majalala hauna.

Au ndio unaongea uliyo yasikia na kusimuliwa,mwisho wa siku na wewe unakua huna tofauti na watu wa vijiwe vya kahawa.
 
Utaratibu please maana hata mm ninashida na hiyo kodi mambo hayaendii

mwanabhonga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…