Msanii Diamond Platnumz kulipa kodi ya nyumba ya miezi 3 kwa familia 500 za hali ya chini

Nilidhani we mshamba ila ni mjinnga, ama kweli utoto ni tabia ukubwa ni umri, utu uzima haufikiwi kwa namba za umri, Siwezi kuingia kugombana na nguruwe kwenye banda lake maana wote tutachafuka matope ingawaje yeye ataona kawaida, Dawa ya mjinga ni kukaa kimya tu na hicho ndicho kim=namfaa mjinga kama wewe ambae anahitimu mafunzo ya kuwanga.
Najua kupambana na MISUKULE ya domo inahitaji MOYO wa chuma maana utashambuliwa kila aina ya matusi,yaani kununuliwa TECNO na BANDO mnamuona DOMO ni Mkombozi 😀 😀 😀 😀!!! Get a life Nikka!!
 
Diamond Ni masikini wa kutupwa hata uwezo wa kununua nguo Hana vipi mzer umeridhika.
 
Najua kupambana na MISUKULE ya domo inahitaji MOYO wa chuma maana utashambuliwa kila aina ya matusi,yaani kununuliwa TECNO na BANDO mnamuona DOMO ni Mkombozi 😀 😀 😀 😀!!! Get a life Nikka!!
Page ya 14 upo msukule wa kupinga kila kitu cha Mondi.Kwa jinsi unavyo mchukia umelala ukaona haitoshi saa tisa ukaamka ucomment alafu ukarudi kulala.

Ila si shangai MISUKULE usiku kwao ndio mchana.
 
Kuna tofauti kubwa Sana ya Diamond na Alikiba, wakati Ali akisukumwa zaidi na sifa anazopewa na mashabiki zake kufanya mziki au kuaminishwa kuwa yuko level sawa na Diamond, kwa upande mwingine Diamond anasukumwa zaidi na njaa ya mafanikio makubwa Sana na kufanya vitu kwa utofauti.

Ila nilichokuja kujifunza kutoka kwa mashabiki wa Ali Kiba, ni kwamba si kwamba hawajui kuwa Diamond yuko juu ya Ali, wanajua vyema kwamba Diamond na Ali Kiba ni mbingu na ardhi ktk kila nyanja, na hili linawaumiza Sana nafsi, ndy maana ili kujipooza wamejijengea tabia ya kutokukubali kila Diamond kizuri anachofanya ili wapate relief ya nafsi zao. Na pia wanashindwa kukubali ukweli kuwa Diamond kwasasa ktk Africa mashabiki na Kati mzima hakuna msanii anaemfikia, Diamond Sasa hv anaenda kufanya mabadiliko makubwa zaidi ktk industry ya burudani.

Jamaa ni ni realy super brand hakuna atakachogusa kising'ae, Kama jina lake linavyosadiki (diamond) anajua kuji brand anaelewa where to inject money to get massive outcomes, he's the entertainment and business genius. Ana potentials zote, na zingine haja ziexplore, tusubiri soon atakuja na series ya maisha yake dizaini za kina Kim Kardashian , ambayo haijawahi tokea nchini, na tutashuhudia makampuni ya Tv yakigombana kununua haki za kurusha matangazo.

Kinachofanya jamaa asionekane Kama ana pesa Kama wengine wanavyombeza, ni kuwa jamaa ni mwanamikakati, kila senti anayopata inakuwa na mipango sjui hichi ni sababu ya kipaji au washauri wanaomzunguka, lakn jamaa ana discipline Sana na pesa. Lakini pia jamaa kutokana na maisha aliyopitoa hapendi kujikweza, always ana kuwa down to earth, ndy maana pesa huita kwa maneno tuliyozoea uswahilini (vijisenti), au nyumba kibanda lkn ukweli the dude is real loaded as f#&k in relation na wasanii wengi wa hapa nchini na Africa kwa ujumla.

Hoja kwamba hiki sy chake Cha yule, mfano wasafi au sjui hotel siyo yake wametumia jina lake n.k, Sina uhakika wa ukweli wa suala hilo lkn hata Kama kweli siyo vyake 100% , lkn haiondoi ukweli kuwa anapata pesa kutokana na hilo, amejibrand ndy maana wanaotaka kufanya biashara nae wanaona kuna faida wakitumia jina lake, Tz kuna utitiri wa wasanii wa kila aina kwanini wasifuatwe wao? Au hata wewe unaempinga ulishawahi hata kuombwa mtu atumie jina lako Kisha akakupa pesa? Trust me jamaa ni balozi wa Pespi, Coral paint etc, Ila amini hao wahindi wanamlipa jamaa the hell amount of money pengine, ukitajiwa unaweza zimia. Vivyo hivyo wanafanya wanamichezo na wasanii wakubwa ulimwenguni, Michael Jordan na Nike, Jayz na Tidal, Kanye na Lous Vuiton au Adidas, Dr. Dre na Beats by Dre, etc, majina yao yamewapa deals kubwa kubwa.

Guys let's give respect where it's due, and admit that this dude is on fire now and flying very high, tht no one can catch him (entertainment & business wise), walikuwepo wasanii kibao Kama Mr. Nice na Juma nature, walipata pesa nyingi Sana kupitia muziki huko nyuma at their peak, lkn walikosa brains wakafail vibaya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umemmaliza kila kitu.
 
Page ya 14 upo msukule wa kupinga kila kitu cha Mondi.Kwa jinsi unavyo mchukia umelala ukaona haitoshi saa tisa ukaamka ucomment alafu ukarudi kulala.

Ila si shangai MISUKULE usiku kwao ndio mchana.
Mtaelewa somo nyie MISUKULE aka MABUMUNDA.
 
Page ya 14 naona leo umeamua kukesha kabisa ukiponda mpaka asubuhi,ushajaziwa bandle lako ni mwendo wa kuponda.
Siwekewi bando mie kama nyinyi....ningekuwa nawekewa ningekuwa namponda domo kisha namsifia kibakuli lakini mie wote KIBAKULI na DOMO wote MAMBWIGA tu.
 
Yote katika yote, huyu jamaa ana akili sana.

Anayo talent, ila upstairs pia yupo njema, huu ni msaada ila impact yake katika kazi zake si kidogo, hiyo mill 75 kurudi ni fasta tu.

Jifunze kutengeneza brand yako iwe vichwani mwa watu, utafanikiwa sana katika shughuli yako.

The power of branding.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kik za Kipimbi tulishamzoea huyu hata akitoa msahada wa kiberiti kwa jirani atatangaza, kuna watu wanatoa misaada kimya kimya..

Kuna watu wametoa msaada wa janga la Corona, bilioni 2 kwa waziri Mkuu kimya kimya bila matangazo..
Yy mondi msaada anawapa watu wao wa korona wameipa serikali , hapo Kuna tofauti
 
Back
Top Bottom