Msanii DJ Choka anavyo thibitisha kwa vitendo mantiki ya Making Kayumba Schools Great Again ( Makaga campaign) ya Likud

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
19,943
Reaction score
37,839
DJ Choka, ambaye ni mmoja wa ma-DJ wa zamani na nguli katika historia ya muziki wa Bongo Fleva nchini Tanzania, anaandika;

"NAOMBENI MNIPE USHAURI KWENYE HILI LEO

1. Kwenye MFUKO wangu nina AKIBA ya Shillings LAKI TATU (300,000/=) ambayo niliiweka kwaajili ya kuitumia kesho Sept 14 kwenye DIALYSIS.

2. Mtoto wangu anafungua SHULE leo Sept 13 yupo BOARDING na kesho anatakiwa aendelee na masomo yake na anatakiwa aende na Risiti ya BANK ya malipo yakumalizia muhula huu wa mwisho wa masomo ambayo natakiwa kulipia LAKI SABA (700,000/=)

HAYA NDUGU ZANGU MNANISHAURIJE KWENYE HILI SWALA LANGU, Je mtoto asiende Shule asikilizie nyumbani mpaka nipate hiyo school fees ambayo sijui nitaipata lini kwa maana kila salio nalolitafuta linaishia kwenye DIALYSIS.

Au hii laki tatu niliyonayo ya dialysis ndio nikalipie kama kianzio akubaliwe kurudi kuendelea na masomo yake huku nikiitafuta hela nyingine ya dialysis.

NASOMA COMMENTS ZENU LABDA NITAPATA JIBU".

..............

DJ Choka anawakilisha maelfu ya wazazi wa kitanzania ambao wanao jistress kulipa mamilioni kwenye shule za EMS .

Haya sasa twende kazi........
1000103496.jpg
 
Hapo cha kujifunza sio kuhusu shule anayosoma mtoto ila cha kujadiliwa ni huyo DJ Choka..

Alikua maarufu sana,katengeneza Pesa nyingi lakini alishindwa kua na Trust/Fund ku support Elimu ya mtoto yeye akiwa hai au amekufa..

Miaka yote anatamba na hana Bima ya maana
 
DJ Choka, ambaye ni mmoja wa ma-DJ wa zamani na nguli katika historia ya muziki wa Bongo Fleva nchini Tanzania, anaandika;

"NAOMBENI MNIPE USHAURI KWENYE HILI LEO

1. Kwenye MFUKO wangu nina AKIBA ya Shillings LAKI TATU (300,000/=) ambayo niliiweka kwaajili ya kuitumia kesho Sept 14 kwenye DIALYSIS.

2. Mtoto wangu anafungua SHULE leo Sept 13 yupo BOARDING na kesho anatakiwa aendelee na masomo yake na anatakiwa aende na Risiti ya BANK ya malipo yakumalizia muhula huu wa mwisho wa masomo ambayo natakiwa kulipia LAKI SABA (700,000/=)

HAYA NDUGU ZANGU MNANISHAURIJE KWENYE HILI SWALA LANGU, Je mtoto asiende Shule asikilizie nyumbani mpaka nipate hiyo school fees ambayo sijui nitaipata lini kwa maana kila salio nalolitafuta linaishia kwenye DIALYSIS.

Au hii laki tatu niliyonayo ya dialysis ndio nikalipie kama kianzio akubaliwe kurudi kuendelea na masomo yake huku nikiitafuta hela nyingine ya dialysis.

NASOMA COMMENTS ZENU LABDA NITAPATA JIBU".

..............

DJ Choka anawakilisha maelfu ya wazazi wa kitanzania ambao wanao jistress kulipa mamilioni kwenye shule za EMS .

Haya sasa twende kazi........View attachment 3669922
Mimi nimeona kama ni anaomba michango kijanja. Yaan ametumia style hiyo ili watakaoguswa wamchangie.

Kama unabisha kaangalie comments za raia kama hakuna mwenye moyo wa huruma hapo.
 
Shule zenyewe za ESM nyigi ni vituko na hazina walimu wenye weledi wa kuongea kiingereza. ukisikiliza watoto wanavyoongea english utacheka uvunjike mbavu, wanaongea kiingereza kibovu wanachofundishwa na walimu wao. shule zilianzishwa kibiashara tu na si kihuduma. Zilianzishwa kwa kufuata mkumbo kwa kuwa soko huria linaruhusu basi kila mwenye mtaji anaanzisha shule kwa lengo la kibiashara
 
DJ Choka, ambaye ni mmoja wa ma-DJ wa zamani na nguli katika historia ya muziki wa Bongo Fleva nchini Tanzania, anaandika;

"NAOMBENI MNIPE USHAURI KWENYE HILI LEO

1. Kwenye MFUKO wangu nina AKIBA ya Shillings LAKI TATU (300,000/=) ambayo niliiweka kwaajili ya kuitumia kesho Sept 14 kwenye DIALYSIS.

2. Mtoto wangu anafungua SHULE leo Sept 13 yupo BOARDING na kesho anatakiwa aendelee na masomo yake na anatakiwa aende na Risiti ya BANK ya malipo yakumalizia muhula huu wa mwisho wa masomo ambayo natakiwa kulipia LAKI SABA (700,000/=)

HAYA NDUGU ZANGU MNANISHAURIJE KWENYE HILI SWALA LANGU, Je mtoto asiende Shule asikilizie nyumbani mpaka nipate hiyo school fees ambayo sijui nitaipata lini kwa maana kila salio nalolitafuta linaishia kwenye DIALYSIS.

Au hii laki tatu niliyonayo ya dialysis ndio nikalipie kama kianzio akubaliwe kurudi kuendelea na masomo yake huku nikiitafuta hela nyingine ya dialysis.

NASOMA COMMENTS ZENU LABDA NITAPATA JIBU".

..............

DJ Choka anawakilisha maelfu ya wazazi wa kitanzania ambao wanao jistress kulipa mamilioni kwenye shule za EMS .

Haya sasa twende kazi........View attachment 3669922
Pole sana kwake

Lakini bima ya afya ni mtaji muhimu sana kwake
 
Moja ya ujinga na ulimbukeni walionao watu ni kupeleka watoto shule za binafsi huku wakijijua uwezo wao ni mdogo.
 
Back
Top Bottom