Utaanza kuitumia baada ya miezi mitatuNaombeni mnisaidie nikikata bima leo ya afya nitapata muda gani baada ya malipo ?? Mimi nimejiajiri
Kwamba mwakani sio na expired ni mwaka 🤔Utaanza kuitumia baada ya miezi mitatu
Huyu alikua Dj wa Prof Jay kipind hiyo Jay ana kundi lake linaitwa CHOKA MBAYA(Adili,black rhyno,simple x,Dj choka,jay)...Kwanini alijiita DJ Choka? Ona sasa jina linamfuata.
Huo utafiti ulifanya lini? Kujua wengi wamechoka? Unamtumia DJ Choka aliyefilisika kutokana na Dylisis? Shida ya watanzania tunapenda kupangia watu maisha na kutumis kejeli na matusi. Wewe kama unapeleka watoto shule ya msingi Kantalamba ni wewe hakuna aliye kulazimisha.Point yangu ni kwamba wazazi wengi wanaosomesha EMS wamechoka na wanalipa Ada kwa stress Jambo ambalo naona ni ujinga
Mtu afanye kile anachoweza kufanya. Kama anaweza kumsomesha shule ya gharama acha amsomeshe na kama hawezi atamsomesha shule ya kawaida. Tusifanye kusomesha mtoto EMS kama kosa la Jinai.Mtoto wa gsm anasoma IST shule ya ada milioni 60 kwa mwaka. Ila baba yake mzee gsm ana kipato faida cha bilioni 50 kwa mwaka.
Hapo ni sawa sawa na anatumia chini ya asilimia 1 ya kipato chake kwa mwaka kumlipia ada mwanae kwa mwaka.
Sasa tuje kwako wewe unatumia asilimia ngapi ya kipato chako kwa mwaka kwenye ada ya mwanao kwa mwaka
huyu alikua mwanangu sana, aisee mwisho wa mwezi huu nimrushie na nifanye kwenda kumuona,Do choka popote ulipo pole kwa inachopitia.....
dah na kachoka kweli aisee, hv wale wasanii aliokua anawafanyia kazi hawawezi fanya show ya hisani kumchangia dj wao?Kwanini alijiita DJ Choka? Ona sasa jina linamfuata.
Moja ya sababu ya kuacha POMBe na starehe kwa ujumla ni baada ya kupoteza kazi nikawa na depression ya ajabu nilipojaribu kuwa chek wanangu nliokua nakula nao bata aisee kila mtu alini block na wengine hawakutaka hata kuniona,nikamwomba mungu akanivusha kwenye hili bas sintorudi tena kwenye starehe. Mana nliwaza sana hiv nikiumwa itakuaje? Mana nlikuwa siwek Akiba kabisa,mshahara ukiingia haufik tarehe 5 umeisha..kwa kwel mungu aliniongoza.dah na kachoka kweli aisee, hv wale wasanii aliokua anawafanyia kazi hawawezi fanya show ya hisani kumchangia dj wao?
ni sahihi kabisaMoja ya sababu ya kuacha POMBe na starehe kwa ujumla ni baada ya kupoteza kazi nikawa na depression ya ajabu nilipojaribu kuwa chek wanangu nliokua nakula nao bata aisee kila mtu alini block na wengine hawakutaka hata kuniona,nikamwomba mungu akanivusha kwenye hili bas sintorudi tena kwenye starehe. Mana nliwaza sana hiv nikiumwa itakuaje? Mana nlikuwa siwek Akiba kabisa,mshahara ukiingia haufik tarehe 5 umeisha..kwa kwel mungu aliniongoza.
Nina miaka 5 sijagusa pombe wala kwenda Club,ili kampani Yangu ya Bata katika member 12,wamefariki 6,watatu wanaugua figo.. kwa ufupi kwenye Ulimwengu huu jiangalie sana nafs yako,MARAFIKI ni kama SIMBA na FISI,siku zote fisi humfuata simba popote aendako mana wanajua wananufaika nae sana,na wanajua ipo siku simba atachoka either kwa majeraha au uzee na wao watamla ndo marafik walivyo,unakua na wana kibao kumbe wananufaika na uwepo wako siku ukiwa majalala huwaon tena..Pambania nafsi yako.
Loooh!!! kama alikuwa mwanao sana basi isije kuwa nikawa nakujua.huyu alikua mwanangu sana, aisee mwisho wa mwezi huu nimrushie na nifanye kwenda kumuona,
sidhani Rafiki kama tunajuana ila inawezekana.Loooh!!! kama alikuwa mwanao sana basi isije kuwa nikawa nakujua.
utakuwa umefanya jambo jema