Mimi nimeona kama ni anaomba michango kijanja. Yaan ametumia style hiyo ili watakaoguswa wamchangie.DJ Choka, ambaye ni mmoja wa ma-DJ wa zamani na nguli katika historia ya muziki wa Bongo Fleva nchini Tanzania, anaandika;
"NAOMBENI MNIPE USHAURI KWENYE HILI LEO
1. Kwenye MFUKO wangu nina AKIBA ya Shillings LAKI TATU (300,000/=) ambayo niliiweka kwaajili ya kuitumia kesho Sept 14 kwenye DIALYSIS.
2. Mtoto wangu anafungua SHULE leo Sept 13 yupo BOARDING na kesho anatakiwa aendelee na masomo yake na anatakiwa aende na Risiti ya BANK ya malipo yakumalizia muhula huu wa mwisho wa masomo ambayo natakiwa kulipia LAKI SABA (700,000/=)
HAYA NDUGU ZANGU MNANISHAURIJE KWENYE HILI SWALA LANGU, Je mtoto asiende Shule asikilizie nyumbani mpaka nipate hiyo school fees ambayo sijui nitaipata lini kwa maana kila salio nalolitafuta linaishia kwenye DIALYSIS.
Au hii laki tatu niliyonayo ya dialysis ndio nikalipie kama kianzio akubaliwe kurudi kuendelea na masomo yake huku nikiitafuta hela nyingine ya dialysis.
NASOMA COMMENTS ZENU LABDA NITAPATA JIBU".
..............
DJ Choka anawakilisha maelfu ya wazazi wa kitanzania ambao wanao jistress kulipa mamilioni kwenye shule za EMS .
Haya sasa twende kazi........View attachment 3669922
Pole sana kwakeDJ Choka, ambaye ni mmoja wa ma-DJ wa zamani na nguli katika historia ya muziki wa Bongo Fleva nchini Tanzania, anaandika;
"NAOMBENI MNIPE USHAURI KWENYE HILI LEO
1. Kwenye MFUKO wangu nina AKIBA ya Shillings LAKI TATU (300,000/=) ambayo niliiweka kwaajili ya kuitumia kesho Sept 14 kwenye DIALYSIS.
2. Mtoto wangu anafungua SHULE leo Sept 13 yupo BOARDING na kesho anatakiwa aendelee na masomo yake na anatakiwa aende na Risiti ya BANK ya malipo yakumalizia muhula huu wa mwisho wa masomo ambayo natakiwa kulipia LAKI SABA (700,000/=)
HAYA NDUGU ZANGU MNANISHAURIJE KWENYE HILI SWALA LANGU, Je mtoto asiende Shule asikilizie nyumbani mpaka nipate hiyo school fees ambayo sijui nitaipata lini kwa maana kila salio nalolitafuta linaishia kwenye DIALYSIS.
Au hii laki tatu niliyonayo ya dialysis ndio nikalipie kama kianzio akubaliwe kurudi kuendelea na masomo yake huku nikiitafuta hela nyingine ya dialysis.
NASOMA COMMENTS ZENU LABDA NITAPATA JIBU".
..............
DJ Choka anawakilisha maelfu ya wazazi wa kitanzania ambao wanao jistress kulipa mamilioni kwenye shule za EMS .
Haya sasa twende kazi........View attachment 3669922
Nani anapokea michango?Asaidiwe tu huyu dj
ni kama yule anayejiita dudu bayaKwanini alijiita DJ Choka? Ona sasa jina linamfuata.
Anazeeka na ubaya wake....manake soon kitamlamba tu kutukanana na wanasiasa uchwara hawa.ni kama yule anayejiita dudu baya
MweziNaombeni mnisaidie nikikata bima leo ya afya nitapata muda gani baada ya malipo ?? Mimi nimejiajiri
DJ Choka, ambaye ni mmoja wa ma-DJ wa zamani na nguli katika historia ya muziki wa Bongo Fleva nchini Tanzania, anaandika;
"NAOMBENI MNIPE USHAURI KWENYE HILI LEO
1. Kwenye MFUKO wangu nina AKIBA ya Shillings LAKI TATU (300,000/=) ambayo niliiweka kwaajili ya kuitumia kesho Sept 14 kwenye DIALYSIS.
2. Mtoto wangu anafungua SHULE leo Sept 13 yupo BOARDING na kesho anatakiwa aendelee na masomo yake na anatakiwa aende na Risiti ya BANK ya malipo yakumalizia muhula huu wa mwisho wa masomo ambayo natakiwa kulipia LAKI SABA (700,000/=)
HAYA NDUGU ZANGU MNANISHAURIJE KWENYE HILI SWALA LANGU, Je mtoto asiende Shule asikilizie nyumbani mpaka nipate hiyo school fees ambayo sijui nitaipata lini kwa maana kila salio nalolitafuta linaishia kwenye DIALYSIS.
Au hii laki tatu niliyonayo ya dialysis ndio nikalipie kama kianzio akubaliwe kurudi kuendelea na masomo yake huku nikiitafuta hela nyingine ya dialysis.
NASOMA COMMENTS ZENU LABDA NITAPATA JIBU".
..............
DJ Choka anawakilisha maelfu ya wazazi wa kitanzania ambao wanao jistress kulipa mamilioni kwenye shule za EMS .
Haya sasa twende kazi........View attachment 3669922
Usipende kuishi kwenye comfort zone akili italalaMoja ya ujinga na ulimbukeni walionao watu ni kupeleka watoto shule za binafsi huku wakijijua uwezo wao ni mdogo.
Unajua maana ya comfort zone kwanza au umeandika tu.Usipende kuishi kwenye comfort zone akili italala
Kuwa na malengo makubwa ili akili ichangamke