Msanii DJ Choka anavyo thibitisha kwa vitendo mantiki ya Making Kayumba Schools Great Again ( Makaga campaign) ya Likud

Kwanini alijiita DJ Choka? Ona sasa jina linamfuata.
Huyu alikua Dj wa Prof Jay kipind hiyo Jay ana kundi lake linaitwa CHOKA MBAYA(Adili,black rhyno,simple x,Dj choka,jay)...

Alianza Prof jay Figo kufel,kuna member wengine ambao hawakua waimbaj nao wamefarik au wanaugua figo,kwakwel starehe nying na kule kukesha kula bata deile kumesababisha member weng kuugua,kiufup vijana weng wa Sinza wamefarik ile cream ya ma blazamen wa miaka 90 mpaka 2000 weng wamekufa kwa maradh na pombe,sinza imejaa wagen wenyej waliuza nyumba wakala bata
 
Point yangu ni kwamba wazazi wengi wanaosomesha EMS wamechoka na wanalipa Ada kwa stress Jambo ambalo naona ni ujinga
Huo utafiti ulifanya lini? Kujua wengi wamechoka? Unamtumia DJ Choka aliyefilisika kutokana na Dylisis? Shida ya watanzania tunapenda kupangia watu maisha na kutumis kejeli na matusi. Wewe kama unapeleka watoto shule ya msingi Kantalamba ni wewe hakuna aliye kulazimisha.
 
Mtu afanye kile anachoweza kufanya. Kama anaweza kumsomesha shule ya gharama acha amsomeshe na kama hawezi atamsomesha shule ya kawaida. Tusifanye kusomesha mtoto EMS kama kosa la Jinai.
 
dah na kachoka kweli aisee, hv wale wasanii aliokua anawafanyia kazi hawawezi fanya show ya hisani kumchangia dj wao?
Moja ya sababu ya kuacha POMBe na starehe kwa ujumla ni baada ya kupoteza kazi nikawa na depression ya ajabu nilipojaribu kuwa chek wanangu nliokua nakula nao bata aisee kila mtu alini block na wengine hawakutaka hata kuniona,nikamwomba mungu akanivusha kwenye hili bas sintorudi tena kwenye starehe. Mana nliwaza sana hiv nikiumwa itakuaje? Mana nlikuwa siwek Akiba kabisa,mshahara ukiingia haufik tarehe 5 umeisha..kwa kwel mungu aliniongoza.

Nina miaka 5 sijagusa pombe wala kwenda Club,ili kampani Yangu ya Bata katika member 12,wamefariki 6,watatu wanaugua figo.. kwa ufupi kwenye Ulimwengu huu jiangalie sana nafs yako,MARAFIKI ni kama SIMBA na FISI,siku zote fisi humfuata simba popote aendako mana wanajua wananufaika nae sana,na wanajua ipo siku simba atachoka either kwa majeraha au uzee na wao watamla ndo marafik walivyo,unakua na wana kibao kumbe wananufaika na uwepo wako siku ukiwa majalala huwaon tena..Pambania nafsi yako.
 
ni sahihi kabisa
 
Watanganyika mnapangiana msomeshe shule wapi mnunue magari aina ya IST ukitoka nje ya hapo ni nyuzi nyuzi kwa kwenda mbele endeleeni kupangiana maisha wazee ili Nchi iendelee kudumaa na kua gizani kama sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…