big dreamer
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 399
- 1,076
Kwa upande wangu kuna hawa jamaa yani wanasauti nzuri sana tena huenda kuzidi baadhi ya msanii wanao sumbua kwasasa
MB Dog
Huyu jamaa alisumbua sana miaka ya 2005 na kidogo,,anasauti nzuri sana alipeta na vibao vyake kama latifa,si ulinambi, mapenzi kitu gani na vingne vingi ,,anavocal nzuri sana sijui saa hizi yuko wapi,,natamani sana
Z Anto
Huyu jamaa nae alitikisa sana enzi hizo na vibao vyake kama mpenzi jini,binti kiziwi,, na vingne lakini alipotea kwenye game gafla inasemekana alichanganya mapenzi na kazi lakini napenda nimuone sikuona akirudi Kwenye game
Mo Music
Huyu kijana alikuwa ni kinda ambae anakuja vizuri sana na vibao vyake kama basi nenda,n.k mara gafla akapotea kwenye game sijui shida nini na sijui yuko wapi ila natamani nimuone siku moja anarudi kwenye game naamini bado ananafasi yake inamsubiri
Neyba
Huyu jamaa alikuwa ni chorus killer ukimshirikisha kwenye wimbo wako anaunogesha lazima utapendwa tu sijui yuko wapi, sijui anafanya nini natamani nimuone siku moja tena kwenye game,
Nawe ongezea wako, unaowatamani warudi tena kwenye game ya muzidi wa Bongo Fleva