Msanii gani ambaye ulitokea kumkubali/ulipenda nyimbo zake lakini ALIPOTEA na unatamani arudi kwenye game

Msanii gani ambaye ulitokea kumkubali/ulipenda nyimbo zake lakini ALIPOTEA na unatamani arudi kwenye game

Sonel - Posta posta na k.i.m.e.o
Mambo jambo- hip hop mdundiko
Bwana mkubwa- nataka kuja home
Kala pina - tunasonga,mstari wa mbele.
Manzese crew - oya oya.


Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Wale walioimba kama walevi fulani hv;
'mke wa mtu ni sumu.....
Wa wa wawaaa!

Usijaribu chombeza,
ya ya yayaaa!

Yatakuja yakukute,
Wa wa wawaaa!
Usiyoyategemeaaa!


Hii style yao ya kuimba ilinichekesha sana.
LWP, Life With People, walikua na ngoma yao walimshirikisha inspector Hatuna, wanaokwenda jela Sio wote wana hatia
 
Sina demu
Kikao cha family-Rama dee
Mn'garo wa silver-Nuruel
Kosa la marehemu-Swahilini matola
Aqwelina-OGC
Kizazaa-OGC
Tusishie hapo kwa sasa
 
Baraka da prince, ruby, harmonize, aslay, hawa si kwamba bado wanaforce muzik lkn ni kwamba wakirudi ktk uhalisia wa ule muziki waliokuwa wakiimba mwanzo basi itakuwa vzr.

Viburi, ujuwaji, uvivu, na kukosa support ndvyo vinawauwa hawa na muziki wao wa kubahatisha.

Huyo kijana mmakonde kama ataachana na mambo ya kiki mitandaon, majungu na mibangi na kuboresha ile aina ya muziki aliyokuwa akiimba akiwa na mabosi.zake basi atafika mbali, lkn akiendeleza kiburi na ujuwaji basi , komenti hii 2025 itakuwa kama referrence ya maonyo hapo muziki wake ukiwa umechokwa na kapitwa na vijana wadogo kama akina marioo
Harmonize ni Dudu Baya ajaye.
 
Back
Top Bottom