Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daaah urofa ilikuwa hatari sanaTop c_
Huyu dogo alikuja na goma Kali waliliita " urofa" baada ya happy akapotea mpaka kesho.
Mwingine Ni huyu anaitwa Alikiba alikuja vizuri miaka ya 2007 lakini baada ya happi akafulia mpaka leo. Inasemekana yupo nanjilinji analima korosho
Norah saa hizi anauza duka la spear za pikpik dar1)Abby skillz
2)Enika
3)Berry black
4)damian soul
5)rama dee
6) qjay
7)mack D
8)dogo ditto & mc koba
9)norah
10)mr blue
👍👍Marlow
Huyu jamaa sijui nini kilimpoteza
1.domo kayaKwa upande wangu kuna hawa jamaa yani wanasauti nzuri sana tena huenda kuzidi baadhi ya msanii wanao sumbua kwasasa
[emoji2389] Mb dog
Huyu jamaa alisumbua sana miaka ya 2005 na kidogo,,anasauti nzuri sana alipeta na vibao vyake kama latifa,si ulinambi, mapenzi kitu gani na vingne vingi ,,anavocal nzuri sana sijui saa hizi yuko wapi,,natamani sana arudi kwenye game najua kiti chake bado kipo atakifuta vumbi tu
[emoji2390] Z anto
Huyu jamaa nae alitikisa sana enzi hizo na vibao vyake kama mpenzi jini,binti kiziwi,, na vingne lakini alipotea kwenye game gafla inasemekana alichanganya mapenzi na kazi lakini napenda nimuone sikuona akirudi Kwenye game
[emoji2391] Mo music
Huyu kijana alikuwa ni kinda ambae anakuja vizuri sana na vibao vyake kama basi nenda,n.k mara gafla akapotea kwenye game sijui shida nini na sijui yuko wapi ila natamani nimuone siku moja anarudi kwenye game naamini bado ananafasi yake inamsubiri
[emoji2393] Neyba
Huyu jamaa alikuwa ni chorus killer ukimshirikisha kwenye wimbo wako anaunogesha lazima utapendwa tu sijui yuko wapi, sijui anafanya nini natamani nimuone siku moja tena kwenye game
Nawe ongezea wako,unaowatamani warudi tena kwenye game ya muzidi wa bongo fleva
[emoji2394]
[emoji2395]
[emoji2396]
[emoji2397]
[emoji647]
Baba umetisha sana🙌🙌🙌Squeezer (sijui ndio linaandikwa hvyo)
D nob
Steve rnb
At
Enika
Gk
Jay dee (wazan naona ni bora kuliko sasa sijui ndio uzee unaninyemelea)
Ray C
Stara thomas
Bizman
Vumi (vumilia) sijui yupo wap
Daz nunda
Mike T
Banana zoro
Kassim mganga
Mr Paul
Bob Rudala (sijui bado yupo hai)
Esther wasira
Bob haisa
Kadjanito
Mwasiti (nae siku hiz havumi)
Namsi
Beka
Jolie
Dogo dito
Wagosi wa kaya
Eby skizy (nahis inaandikwa hvyo)
V2
GK tunammisi sanaSqueezer (sijui ndio linaandikwa hvyo)
D nob
Steve rnb
At
Enika
Gk
Jay dee (wazan naona ni bora kuliko sasa sijui ndio uzee unaninyemelea)
Ray C
Stara thomas
Bizman
Vumi (vumilia) sijui yupo wap
Daz nunda
Mike T
Banana zoro
Kassim mganga
Mr Paul
Bob Rudala (sijui bado yupo hai)
Esther wasira
Bob haisa
Kadjanito
Mwasiti (nae siku hiz havumi)
Namsi
Beka
Jolie
Dogo dito
Wagosi wa kaya
Eby skizy (nahis inaandikwa hvyo)
V2
Nyimbo moja matata ya Sagina2 berry, JI, Juma Nature, AT, Qchief, Matonya, Cassim, Pasha, TiD, Sajna, Mike T Mnyalu, Noorah, Suma lee, 20%
Feruz Mungu ambariki sana. Alitupa maonyo na matumaini nyakati za hatari sana enzi hizo 2000sNchi Yetu ilitetemeka na viitiko vya ferouz
flow ngumu ngumu.Kalapina kwa wale tunataka flow za kibabe
Mkuu shika mwnyewe usome ni Wimbo wa DazNundaz. Wimbo mkali sanaMatonya, nb doggy, juma nature, z anto, voice wonder, kasim mganga, wagosi, joseline,blue (mapoz), shika mwenyewe usome barua hii, jdeee, ray c, n.k