Msanii gani ambaye ulitokea kumkubali/ulipenda nyimbo zake lakini ALIPOTEA na unatamani arudi kwenye game

Top c_
Huyu dogo alikuja na goma Kali waliliita " urofa" baada ya happy akapotea mpaka kesho.
Mwingine Ni huyu anaitwa Alikiba alikuja vizuri miaka ya 2007 lakini baada ya happi akafulia mpaka leo. Inasemekana yupo nanjilinji analima korosho
 
Wale walioimba kama walevi fulani hv;
'mke wa mtu ni sumu.....
Wa wa wawaaa!

Usijaribu chombeza,
ya ya yayaaa!

Yatakuja yakukute,
Wa wa wawaaa!
Usiyoyategemeaaa!


Hii style yao ya kuimba ilinichekesha sana.
 
Baraka da prince, ruby, harmonize, aslay, hawa si kwamba bado wanaforce muzik lkn ni kwamba wakirudi ktk uhalisia wa ule muziki waliokuwa wakiimba mwanzo basi itakuwa vzr.

Viburi, ujuwaji, uvivu, na kukosa support ndvyo vinawauwa hawa na muziki wao wa kubahatisha.

Huyo kijana mmakonde kama ataachana na mambo ya kiki mitandaon, majungu na mibangi na kuboresha ile aina ya muziki aliyokuwa akiimba akiwa na mabosi.zake basi atafika mbali, lkn akiendeleza kiburi na ujuwaji basi , komenti hii 2025 itakuwa kama referrence ya maonyo hapo muziki wake ukiwa umechokwa na kapitwa na vijana wadogo kama akina marioo
 
Top c_
Huyu dogo alikuja na goma Kali waliliita " urofa" baada ya happy akapotea mpaka kesho.
Mwingine Ni huyu anaitwa Alikiba alikuja vizuri miaka ya 2007 lakini baada ya happi akafulia mpaka leo. Inasemekana yupo nanjilinji analima korosho
Daaah urofa ilikuwa hatari sana
 
Squeezer (sijui ndio linaandikwa hvyo)
D nob
Steve rnb
At
Enika
Gk
Jay dee (wazan naona ni bora kuliko sasa sijui ndio uzee unaninyemelea)
Ray C
Stara thomas
Bizman
Vumi (vumilia) sijui yupo wap
Daz nunda
Mike T
Banana zoro
Kassim mganga
Mr Paul
Bob Rudala (sijui bado yupo hai)
Esther wasira
Bob haisa
Kadjanito
Mwasiti (nae siku hiz havumi)
Namsi
Beka
Jolie
Dogo dito
Wagosi wa kaya
Eby skizy (nahis inaandikwa hvyo)
V2
 
1.
1.domo kaya
2. Juma nature
3. Ferooz
4.Temba
5. KR
6. John Walker
7. kali P
 
Baba umetisha sana🙌🙌🙌
 
GK tunammisi sana
 
Matonya, nb doggy, juma nature, z anto, voice wonder, kasim mganga, wagosi, joseline,blue (mapoz), shika mwenyewe usome barua hii, jdeee, ray c, n.k
Mkuu shika mwnyewe usome ni Wimbo wa DazNundaz. Wimbo mkali sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…