Msanii gani ambaye ulitokea kumkubali/ulipenda nyimbo zake lakini ALIPOTEA na unatamani arudi kwenye game

Sonel - Posta posta na k.i.m.e.o
Mambo jambo- hip hop mdundiko
Bwana mkubwa- nataka kuja home
Kala pina - tunasonga,mstari wa mbele.
Manzese crew - oya oya.


Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Wale walioimba kama walevi fulani hv;
'mke wa mtu ni sumu.....
Wa wa wawaaa!

Usijaribu chombeza,
ya ya yayaaa!

Yatakuja yakukute,
Wa wa wawaaa!
Usiyoyategemeaaa!


Hii style yao ya kuimba ilinichekesha sana.
LWP, Life With People, walikua na ngoma yao walimshirikisha inspector Hatuna, wanaokwenda jela Sio wote wana hatia
 
Sina demu
Kikao cha family-Rama dee
Mn'garo wa silver-Nuruel
Kosa la marehemu-Swahilini matola
Aqwelina-OGC
Kizazaa-OGC
Tusishie hapo kwa sasa
 
Harmonize ni Dudu Baya ajaye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…