Msanii gani maarufu umewahi kuonana naye live mkaongea mawili matatu

We ndio ulisikiliza ngoma zake saa 24 mfululizo [emoji15] kule boomplay

Ulikuwa huna kazi za kufanya infact kwa inaonekana huna kazi kufanya ?

Anyo hongera Sana
 
Stamina mara nyingi sana nimepiga nae stori
Alikuwa anakuja kuchukuwa order zake za mmea zikiwa zimenyongwa tayari.
sema huwa anakuwa makini asipigwe picha
Ahahahaha kumbe stamina naye mdau
 
Alikuwa peace kwasababu mlikuwa 30 broo,.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…