donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
Alikuja as in oneness?Kwa upande wangu ni Westlife alikuja juzi kunichukua tukaenda kumwangalia Joe Biden anaapishwa kuwa rais rasimi wa marekani bila malubwa lubwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikuja as in oneness?Kwa upande wangu ni Westlife alikuja juzi kunichukua tukaenda kumwangalia Joe Biden anaapishwa kuwa rais rasimi wa marekani bila malubwa lubwa
Ko utaki ?Alikuja as in oneness?
Mwanaume anayetumia Ko, Xo etc. Hua napata ukakasi Sana. Ujajibu swali thoughKo utaki ?
Q Jay na Songa
Ni marehemu sasa hivi.Cp aka Cpwaaa
Yupo so charming
We ndio ulisikiliza ngoma zake saa 24 mfululizo [emoji15] kule boomplayNimepiga sana story na AY mwaka jana akanipeleka studio za bongo records na badae tukaenda Wanene pale nikakutana na FId q na lord eyes na maproducer wa pale , akinipa CD za album zake na mualiko wa uzinduzi wa ngoma yake ya DAN ELA pale samaki samaki
Janjaro kasoma chuo wapi na sekondari hakumalizaWhozu, Janjaro. Cliff mitindo na Benard Paulo tulisoma nao chuo, tumekaa nao geto moja
Janjaro si ndio Dogo janja mkuu?if yes,kasoma chuo gani hicho ilihali aliishia form two?Whozu, Janjaro. Cliff mitindo na Benard Paulo tulisoma nao chuo, tumekaa nao geto moja
Kuna fiksi humu mkuuJanjaro kasoma chuo wapi na sekondari hakumaliza
itakuwa ☕ hiiJanjaro kasoma chuo wapi na sekondari hakumaliza
Hujaona nukta mkuu?Janjaro si ndio Dogo janja mkuu?if yes,kasoma chuo gani hicho ilihali aliishia form two?
Nyie vyuo mnajua UDSM, CBE? vipo vyuo vya mabaharia uko mitaani...Janjaro si ndio Dogo janja mkuu?if yes,kasoma chuo gani hicho ilihali aliishia form two?
Kumbe na stamina naye anakula kuku moshi!!?Stamina mara nyingi sana nimepiga nae stori
Alikuwa anakuja kuchukuwa order zake za mmea zikiwa zimenyongwa tayari.
sema huwa anakuwa makini asipigwe picha
Ahahahaha kumbe stamina naye mdauStamina mara nyingi sana nimepiga nae stori
Alikuwa anakuja kuchukuwa order zake za mmea zikiwa zimenyongwa tayari.
sema huwa anakuwa makini asipigwe picha
Alikuwa peace kwasababu mlikuwa 30 broo,.Nakumbuka kwangu enzi nipo Arusha miaka ya 2016 , Nlikuwa na kawaida ya kwenda club D maeneo ya Moshono.
Siku ya siku wakaja kina Mr Blue na Rommy Jons ambae alipewa u DJ.
Cha ajabu hatukuwa wengi sana, hatukufika hata 30,
Basi ikawa Mr Blue ananipa mic sana tu niwe nafuatiliza nyimbo zake maana nilikuwa nimezikariri nyingi.
Ilikuwa poa sana ile siku kwangu, Jamaa yupo peace hana makuu