Msanii gani maarufu umewahi kuonana naye live mkaongea mawili matatu

Msanii gani maarufu umewahi kuonana naye live mkaongea mawili matatu

Nimepiga sana story na AY mwaka jana akanipeleka studio za bongo records na badae tukaenda Wanene pale nikakutana na FId q na lord eyes na maproducer wa pale , akinipa CD za album zake na mualiko wa uzinduzi wa ngoma yake ya DAN ELA pale samaki samaki
We ndio ulisikiliza ngoma zake saa 24 mfululizo [emoji15] kule boomplay

Ulikuwa huna kazi za kufanya infact kwa inaonekana huna kazi kufanya ?

Anyo hongera Sana
 
Stamina mara nyingi sana nimepiga nae stori
Alikuwa anakuja kuchukuwa order zake za mmea zikiwa zimenyongwa tayari.
sema huwa anakuwa makini asipigwe picha
Ahahahaha kumbe stamina naye mdau
 
Nakumbuka kwangu enzi nipo Arusha miaka ya 2016 , Nlikuwa na kawaida ya kwenda club D maeneo ya Moshono.

Siku ya siku wakaja kina Mr Blue na Rommy Jons ambae alipewa u DJ.

Cha ajabu hatukuwa wengi sana, hatukufika hata 30,

Basi ikawa Mr Blue ananipa mic sana tu niwe nafuatiliza nyimbo zake maana nilikuwa nimezikariri nyingi.

Ilikuwa poa sana ile siku kwangu, Jamaa yupo peace hana makuu
Alikuwa peace kwasababu mlikuwa 30 broo,.
 
Back
Top Bottom