Msanii gani maarufu umewahi kuonana naye live mkaongea mawili matatu

Peter Msechu. Shule moja advance ila alikuwa ametutangulia kidato. Pepa ya form six alifanya mbio mbio kashapak mabeg yake kuwah basi la dsm then train kuwah tusker project.

Alipeform saaana kwenye graduu za shule
 
Mkuu ulisoma Mbezi beach?
 
Baadhi ya wasanii niliowahi kuinteract nao na tabia zao (based on first impression)

Country boy - uyu ni mtu poa sana hajivuni na hajistukii anaishi maisha yake na story unapiga nae fresh tu

Marioo - Nae yuko poa ila ni mtu wa kupoa sana unaeza hisi ana majivuno ila tu ndo alivyo ana aibu flani hivi mbele ya watu

Salaam Sk - Katika watu ambao sikutegemea atanichangamkia ni uyu jamaa yani tofauti na watu wanavyomuona ni mtu poa sana unaongea nae vzuri kabisa hajiskii

Madam Rita - Aisee uyu ana nataa balaa ana dharau hatari na hana adabu hata kidogo zile huruma zke kwenye bss nahisi ana act tu kwa camera ila uku nyuma si mtu poa kiivyo

Idris Sultan - Mtu poa sana haringi, ukimsalimia mnainteract vizuri kama anakujua vile yuko poa sana

Dully Sykes- He's so full of life yaani ni mtu wa kuwa happy muda wote kucheka na stori jamaa yupo poa sana ila kwli ni Mr Misifa

Rosa ree- Yuko poa ila nae ana aibu sana sema haringi unaongea nae vizuri tu
 
Mwanzoni mwa miaka ya tisini niligongana na Mbilia Bel mitaani jijini Brusseles tukaongea naye kiswahili halafu nikamwalika nyumbani kwangu nikiahidi kumpikia ugali kwa samaki. Alikuja na bwana wake Rigo Star tukala ugali!! Rigo Star alikuwa hajui kiswahili, ila mbilia Bel alikuwa anakijua sana kile cha "bandugu bangu"
 
Nimewahi kufanya kakazi na JB...yupo poa sana hana noma,

Beyonce nilikutana nae Minnesota 2019
AM ADDICTED🤭🤭.
As an addict of Betting society of Tanzania,
1. It's better we sleep hungry but save that 100 kuwekelea bet.
2. Winning is always our mentality, losing is an accident caused by satan and his girlfriend.
3. There's always a running bet at each hour, minute, second and microsecond. We keep on checking ata tukiwa tunaomba.
4. It's better ukose bundles za kuingia google classroom but sio za kufuatilia game live.
5. Muhindi ni adui wetu ambae hapendi tufanikiwe.
6. We usually pity our friends who don't bet, like how do they survive?
7. Lazima kuchunga bet. We don't sleep upto the last game igonge 90.
8. We don't withdraw all, huwa tunabakisha kwani kesho pia ni lazima tuweke.
9. We never ever tell anyone kama tumeshinda, apart from our one loyal morio.
10. And finally, We believe that IPO SIKU. JACKPOT ni yetu sote na tutaiwai✅✅.
✍️✍️ Bondpost
 
mzee wa tutafilimba ulembe ni mshikaji poa sana na ni mpole tofauti na anavyoigiza.
hascana arusha enzi hizo mpaka sasamitandao baadhi ni marafiki
doctor cheni kwenye event za maharusi nyingi sana na matukio hayo yalihitaji kuongea kama wahusika
sholo mwamba
mr nice
charles hillary enzi akiwa AZAM
salum mkambala magic fm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…