Msanii gani maarufu umewahi kuonana naye live mkaongea mawili matatu

Roma mkatoliki tunachimba nae vyoo huku ulaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
uliona vipimo au ulijuaje ni ngoma mkuu,au ndio macho yanatosha
ATU ndiye aliyetuambia kwamba ameathirika na alikufa kwa kilo mbili si unajua NGOMA ya zamani ilikuwa lazima ukonde maana "NJUGU" zilikuwa bado hazijaja.
 
Nina bahati mbaya ya kukutana na wasanii wakiwa washaporomoka. Niliwahi kukutana cheed benzino twitter pub ikiwa inavuma, niliwahi kukutana na wema sepenga hapo hapo jirani na twitter kwa frank fundi wa kitimoto. Niliwahi kukutana msanii sio maarufu sana kule ubungo pale tanesco ndani ndani kuna bar ya mwenyekiti, nilimwona anakunywa chibuku mimi ndio nikampiga tafu kilimanjaro 2 kubwa.
 
Walikuwa wanakuomba "chohote" dyadya[emoji3][emoji3][emoji3]

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Peter Msechu, nilimkuta ofisini kwa boss wangu nikamsalimia na kupiga story 2-3 ndo nikagutuka kuwa ni Msechu....apunguze tu kitambi maana duh
 
Huyo wa chibuku atakua Mbdog, mtoto wa ubungo (kibangu)
Mimi nilishamtoaga kwenye kundi la wasanii

Mb dog popote ulipo kula 5 za nguvu, mwana amejua kubadirika na mazingira
 
KR mulla jibaba cd 700,huyu bro tumecheza nae soka pale kiburugwa mbagala.....jamaa amekonda kinoma tofauti na ile miaka walivyokuwa wanapiga mapanga shaah na tmk,Anaupiga mwingi jamaa sijui kwa nini hakutaka kucheza soka la kulipwa!!!
Mzee blunti huyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…