Msanii gani maarufu umewahi kuonana naye live mkaongea mawili matatu

Msanii gani maarufu umewahi kuonana naye live mkaongea mawili matatu

Unateseka na nini?
Anayeteseka ni wewe anayesumbukia watu wengine badala ya kujitengenezea jina. Umeona usupa staa dili siyo? Wangapi wameishia kwenye mibangi na kukopa ili waishi kwenye ndoto badala ya ukweli na uhalisia? Kawaulize akina Wema wanaopondeka na kusagika wakijiona kisa usupa staaa uchwara wa bongo.
 
2013 Stereo alikuwa anakuja Ghetto kumwomba bro ampeleke Wasafi kwa bodaboda ( Ukipata jina kubwa wakati pesa hina ni mateso ). Wakawa wakifika Wasafi wanamkuta Qboy enzi hizo wako Sinza anavimba ile mbaya.

Stereo alifanikiwa kutoa ngoma na Mavoko wakati bado yuko WCB.

Cha kushangaza jamaa baada ya kupata kazi bank, Muziki kaupitezea.
Kafanya la maana sana
 
Nina bahati mbaya ya kukutana na wasanii wakiwa washaporomoka. Niliwahi kukutana cheed benzino twitter pub ikiwa inavuma, niliwahi kukutana na wema sepenga hapo hapo jirani na twitter kwa frank fundi wa kitimoto. Niliwahi kukutana msanii sio maarufu sana kule ubungo pale tanesco ndani ndani kuna bar ya mwenyekiti, nilimwona anakunywa chibuku mimi ndio nikampiga tafu kilimanjaro 2 kubwa.
Twitter ya kinondoni sio
 
Bongo wapo wasanii tuu wanamziki wapo mbeleeee mwanamziki hujui kuandika nyimbo, kuperform live, hujui kupiga chombo chochote hata vuvuzela eti mwanamziki sishangai amberlulu nae mwanamziki *****.Siku nikikutana na ruby ntamwambia aache usenge anajua sana
 
Gwajiboy
Mpoki tulikutana Moro tukala biriani alikua amekuja kwa Nuba kakaake mwijaku mwingine ni chinbeez kachoka sana
 
Bongo wapo wasanii tuu wanamziki wapo mbeleeee mwanamziki hujui kuandika nyimbo, kuperform live, hujui kupiga chombo chochote hata vuvuzela eti mwanamziki sishangai amberlulu nae mwanamziki *****.Siku nikikutana na ruby ntamwambia aache usenge anajua sana
Ila uko nje ya mada
 
Nakumbuka kwangu enzi nipo Arusha miaka ya 2016 , Nlikuwa na kawaida ya kwenda club D maeneo ya Moshono.

Siku ya siku wakaja kina Mr Blue na Rommy Jons ambae alipewa u DJ.

Cha ajabu hatukuwa wengi sana, hatukufika hata 30,

Basi ikawa Mr Blue ananipa mic sana tu niwe nafuatiliza nyimbo zake maana nilikuwa nimezikariri nyingi.

Ilikuwa poa sana ile siku kwangu, Jamaa yupo peace hana makuu
Hawa ni maarufu na wanapata watu chini ya 30 kwa show?
 
Bongo wapo wasanii tuu wanamziki wapo mbeleeee mwanamziki hujui kuandika nyimbo, kuperform live, hujui kupiga chombo chochote hata vuvuzela eti mwanamziki sishangai amberlulu nae mwanamziki *****.Siku nikikutana na ruby ntamwambia aache usenge anajua sana
Ni kweli, hapa Bongo tumejawa na wasanii uchwara tu kisha wanajiita wanamuziki. Sijuwi kwanini serikali haiwakamati hawa watu na kuwashitaki kuharibu sifa na ajira za watu, mwanamuziki gani usiyejuwa kuperform au hata kuandika vimistari tu? Tuwaachie muziki wanamuziki wetu, tusipende kulazimisha vitu. Angalia wasanii wa bongo fleva kwa mfano, HAKUNA msanii yeyote wa fleva anayejuwa kuperform, yaani hata mmoja hakuna ila mtu anajiona ni wa matawi kwa sababu mashabiki wenyewe ni mambumbumbu, wakiona mtu anapiga selekasi wanashangilia.
 
Back
Top Bottom