Msanii gani maarufu umewahi kuonana naye live mkaongea mawili matatu

Unateseka na nini?
Anayeteseka ni wewe anayesumbukia watu wengine badala ya kujitengenezea jina. Umeona usupa staa dili siyo? Wangapi wameishia kwenye mibangi na kukopa ili waishi kwenye ndoto badala ya ukweli na uhalisia? Kawaulize akina Wema wanaopondeka na kusagika wakijiona kisa usupa staaa uchwara wa bongo.
 
One incredible nimekula nae sana kaya ubungo msewe!
Maunda zoro nimekula nae kaya sana kurasini nikiwa chuo.
Pia nishawai salimiana na EVE.
 
Kafanya la maana sana
 
Twitter ya kinondoni sio
 
Bongo wapo wasanii tuu wanamziki wapo mbeleeee mwanamziki hujui kuandika nyimbo, kuperform live, hujui kupiga chombo chochote hata vuvuzela eti mwanamziki sishangai amberlulu nae mwanamziki *****.Siku nikikutana na ruby ntamwambia aache usenge anajua sana
 
Gwajiboy
Mpoki tulikutana Moro tukala biriani alikua amekuja kwa Nuba kakaake mwijaku mwingine ni chinbeez kachoka sana
 
Ila uko nje ya mada
 
Hawa ni maarufu na wanapata watu chini ya 30 kwa show?
 
Ni kweli, hapa Bongo tumejawa na wasanii uchwara tu kisha wanajiita wanamuziki. Sijuwi kwanini serikali haiwakamati hawa watu na kuwashitaki kuharibu sifa na ajira za watu, mwanamuziki gani usiyejuwa kuperform au hata kuandika vimistari tu? Tuwaachie muziki wanamuziki wetu, tusipende kulazimisha vitu. Angalia wasanii wa bongo fleva kwa mfano, HAKUNA msanii yeyote wa fleva anayejuwa kuperform, yaani hata mmoja hakuna ila mtu anajiona ni wa matawi kwa sababu mashabiki wenyewe ni mambumbumbu, wakiona mtu anapiga selekasi wanashangilia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…